Haya haya sasa
wale couple admirers mkuje sasa mtuambie nani ni mkali
akina couple gani mnayo wa admire hapa jamii forum na dunia nzima
MIMI wa kwangu ni hawa hapa
MIMI wa kwangu ni hawa hapa
na hawa
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa...
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja,
Simba na Yanga...
Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66.
Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani.
Katika Ripoti ya...
Wakuu kwema?
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani?
Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini?
Mi napenda sana...
Yafuatayo ni mataifa 9 yenye uwezo mkubwa wa silaha hatari za nyuklia duniani.
1. Urusi
Pamoja na kupunguza hifadhi zake za nyuklia tangu kumalizika kwa vita baridi (Machi 12, 1947 – Desemba 3, 1989), Urusi na Marekani zinamiliki asilimia 90% ya silaha zote za nyuklia duniani. Lakini Urusi ni...
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya
Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU).
Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinikera mno na kunishangaza, naona leo nikiweke hadharani. Kuna hawa viumbe wanaojiita Life Coach wamezidi kuongezeka sana town. Kimsingi ni Motivational Speakers ambao kwa sababu wanazozijua wao wameamua kujipa vyeo kwamba ni makocha wa maisha.
Najiuliza maswali...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko.
Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
Members,
Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame)
Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela!
Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania.
Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
Kama ulikuwa hufahamu:
Leo ni siku ya nyoka duniani: Siku hii maalumu inatumika katika kuongeza elimu juu ya Nyoka: Siku ya leo pia inatumia kutoa elimu na kuongeza upendo kwa nyoka na kuondoa mawazo hasi juu ya nyoka. Kumbuka
1. Duniani kote kuna aina takribani 3,500 ya nyoka duniani kote
2...
Mnamo 2005 Kevin Berthia alienda kwenye daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake.
Aliishia kuzungumzia maisha yake na afisa Kevin Briggs kwa dakika 92 akiwa pembezoni mwa daraja.
Baada ya Miako 10 Berthia na Briggs wanakutana kwenye daraja hilo wakiwa na hali ya tofauti na mara ya kwanza...
Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
Mwanadamu tangu kuumbwa kwake Kwa kudhamiria au bahati mbaya ameshaharibu viumbe wengi amabao Kwa sasa hawapo kabisa(extinct)
Mifano ipo mingi,nikihamua kuiandika hapa nitaijaza JamiiForums nzima
Karma ya kuangamiza viumbe wengine sasa imemugeukia binadamu mwenyewe
Mwanamke mweusi siku hizi...
Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza.
Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla.
Karibuni kuchangia.
Habari zenu,
Natumaini wote wazima.
Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?
Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile...
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya Afrika hapo chuoni.
Visa ya Marekani ina tabu kidogo na nilipofika Consulate ya Marekani kuomba visa...
Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti.
Kinachoangaliwa...