duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini husababisha mvua za El Niño duniani?

    Nini husababisha mvua za El Niño duniani? Mvua za El Niño husababishwa na mabadiliko katika joto la bahari la Pasifiki Mashariki. Kawaida, upepo huvuma kutoka mashariki kwenda magharibi juu ya eneo hilo la bahari, na hii husababisha maji yenye joto kujilimbikiza upande wa magharibi wa Pasifiki...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

    Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile. Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na...
  3. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania "White widow" mjane mweupe anayeumiza vichwa vya majasusi duniani

    Siku chache kabla ya shambulio la Westgate, Elvis Weulo, mkazi wa Buruburu jijini Nairobi alipokea simu kutoka kwa Abdukadir Haret Mohammed, akimtaka amuuzie gari yake. Septemba 06, 2013 Elvis Weulo alikutana na Abdikadir Mohammed "Mohammed Hussein" akiwa na mshirika wake Hussein Abdi Ali...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi huko duniani hali ipo kama Tanzania

    Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo. Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania MEXICO UFO HEARING ( uwepo wa viumbe vingine duniani )

    they have been discussion of aliens in Mexico congress under oath and here are the details and the Anatomy of the aliens as well as the dna analysis . They are over 1000 years old Here is dr salce in Swahili sehemu yake ya anatomia ilizungumzwa kibinafsi na Dk. Jose Salce Benitez ambaye...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
  8. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Bandari bora zaidi duniani

    Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri. Top 50 seaports 2022 Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
  9. JamiiForums Tanzania Ukija Duniani kama ulivyokuta watu wamepambana kuleta mambo mazuri na wewe kabla haujafa tafuta kitu Cha kuoachaia Dunia Kama zawadi

    Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani . MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai. Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

    Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania. Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
  11. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  12. JamiiForums Tanzania KWELI Ushuzi na Kinyesi cha Ng'ombe huzalisha Methane inayosababisha ongezeko la joto duniani

    Ingawa ni kama utani na inachekesha ila huwezi amini kuwa ng'ombe akijamba/kutoa ushuzi basi kile kitokacho huambatana na gesi ya methane ambayo huzalisha joto na moto/mwanga. Wanaharakati mbalimbali wa mazingira wamekuwa wakidiscourage ufugaji/uzalishaji wa ng'ombe kwa wingi na kusema wazi...
  13. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

    Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
  14. JamiiForums Tanzania Duniani Wawili Wawili

    Digui Dagara vs Mayele jr
  15. JamiiForums Tanzania Nyama tam kuliko zote Duniani

    Inapingwa na watu zaidi ya milioni mia mbili ila bado inashikilia rekodi ya utamu na kupendwa na haters kimya kimya
  16. JamiiForums Tanzania Top list ya watu maarufu duniani wanao julikana kwa jina moja tu (mononymous people)

    A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name. A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names) 1. Jesus 2. Muhammad 3. Ibrahim (or Abraham?)...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hadhi ya Ubalozi ya Dkt. Slaa ilikuwa mzigo mkubwa kwake, hakupewa kwa maamuzi ya Mwenyenzi Mungu bali kwa maamuzi ya wanadamu. Sasa yupo huru

    Kama Dkt. Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kwa kupigania rasilimali naamini yupo kwenye mwisho mwema wa maisha yake hapa Duniani. Kwamba ameanza kwa kupigania haki na amezeeka akiwa mtetezi wa haki; alianza kwa kuhubiri uzalendo na amezeeka akipigania haki. Waliomvua Ubalozi ipo siku watasimama...
  18. JamiiForums Tanzania Kikwete: Mkutano wa Taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE) utafanyika Afrika kwa mara ya kwanza

    Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20 iliyopita. Kikwete ambaye ameanza kuongoza bodi hiyo mwaka 2021 amesema baada ya kumaliza muda wake...
  19. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

    Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika. Nitajikita zaidi katika...
  20. JamiiForums Tanzania JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…