duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Mashindano ya 'uzembe' yanavyoenea duniani

    Kukaa bila kufanya chochote kwa dakika 90 kunaweza kuonekana kuwa jambo rahisi. Lakini kwa baadhi ya watu, hilo limegeuka kuwa changamoto inayohitaji nidhamu kubwa. Nchini Korea Kusini, mashindano ya Space-out yamekuwa yakifanyika kila mwaka, ambapo washiriki hutakiwa kutofanya chochote kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Mungu hujificha asijulikane na kila mtu na hajiweki wazi kwa watu wote duniani wanafahamu ?

    Naona ingekuwa rahisi sana kama Mungu angejiweka katika hali ya kujulikana na kufahamika kwa wazi kwa watu wote waliowahi kuishi duniani bila kipengele. Suala la kwamba watu baadhi tu ndio hudai kumjua kwa imani katika roho na wengine wakienda mbali zaidi kudai ni manabii na mitume wake...
  4. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna laana au baraka mambo yote yapo kama yalivyo.

    Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana. Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana So , mambo yapo kama hivyo
  5. JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa duniani, wanatengenezwa na nchi zao au wanajitengeneza wenyewe?

    NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia. Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike? Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
  6. JamiiForums Tanzania Kutoka kulala chini ya madaraja hadi muigizaji bora duniani

    Djimon Hounsou aliwasili Paris kutoka Benin akiwa na umri wa miaka 13 na kaka yake, hawakuweza kupata kazi wala makazi badala yake kuishia kulala chini ya madaraja na kutafuta chakula kwenye mapipa ya takataka. Kukutana kwa bahati nasibu na mpiga picha kulisababisha utambulisho wa mbunifu wa...
  7. JamiiForums Tanzania TANAPA yanyakua tuzo 6, hifadhi za taifa zazidi kutikisa ramani ya utalii duniani

    Na. Jacob Kasiri - Zanzibar Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA) 2026, ushindi uliotangazwa Agosti 28, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika usiku ndani ya Hotel ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kuzaliwa hapa duniani ilikuwa ni hasara kwa MUNGU na kwa binadamu. Watu kama Putin, Hiltler, Amin, Ayatollah nk hawakupaswa kuzaliwa

    siyo kila aliyazaliwa duniani ilikuwa ni mpango wa MUNGU .Hapana.ebu jiulize mtu anakuwa na roho kama ya simba unawezaje kusema ilikuwa ni mpango nwa MUNGU mtu huyo kuzaliwa duniani?kuna watu wanasumbua hapa ulimwenguni mpaka unajiulizwa siku wanaumbwa matumboni kwa mama zao Mungu alikuwa bize...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna mpumbavu duniani zaidi ya boflo inayo pumua udini masaa 24

    Eti mtu anaandika allah ndio amemuadhibu nchimbi kutoka madarakani kwa hio sasa huyo allah chama chake ni vegetable ndio maana haoni wengine wa kuadhibu humo? Umasikini ni mzigo haswa wa ufahamu na utashi.
  10. JamiiForums Tanzania TALMUD: Adamu aliwaingilia kimwili wanyama wote duniani

    Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi. Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva. Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu. Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya...
  11. JamiiForums Tanzania “Nimezungumza na wanaume matajiri zaidi duniani, na wote wameniambia kwamba majuto yao makubwa zaidi maishani yalikuwa ni kuoa.” — Rapper 50 Cent

  12. K

    JamiiForums Tanzania Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  13. JamiiForums Tanzania Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

    Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC: Siku ya Utumwa Duniani

    https://youtu.be/uJHUL5SNwTI?si=4eeP81xOZA-8DmxN
  15. JamiiForums Tanzania Katika biashara mbaya zaidi duniani ni ya madawa ya kulevya. Haitaki utani kabisa

    Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe. Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia. Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wachawi zaidi kuwahi kutokea duniani

    🔮 1. Merlin — mchawi maarufu wa Ulaya Merlin ni mmoja wa wachawi maarufu zaidi katika fasihi ya Ulaya, hasa katika hadithi za King Arthur. Anasimuliwa kuwa: Alikuwa mshauri wa King Arthur. Alikuwa na uwezo wa kuona mambo yajayo. Alitumia uchawi na maarifa ya ajabu kumsaidia Arthur. Hadithi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  18. JamiiForums Tanzania Uvumbuzi wa ovyo kuwahi kufanywa duniani

    Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui. Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa. AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani...
  19. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  20. JamiiForums Tanzania 10th dimension ni kielelezo cha Mungu yupo

    Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension. Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine. Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja. 10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…