Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee.
Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari.
Kama tutaweza kuwa na vyombo...
Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani,
Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe
Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche,
lakini siyo hivi vyama vya waganga...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan.
Waziri Mkuu...
Aisee hizi timu zinatisha maana Kwa boli linalopigwa na usajili wao mbingu na ardhi aisee mungu anipe nini mimi maana msimu huu Kila mwisho wa wiki mama watoto namuambia apike pilau Ili tujiburudishe natafuta fundi anaeweza kuchora nembo ya Barcelona na Liverpool kwenye nyumba yangu forca barca...
Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
Wadau hamjamboni nyote?
Huku ndiyo ukweli hata kama unaumiza ila ndiyo ukweli
Kanisa Katoliki lafundisha utii na unyenyekevu pamoja na tafakuri ya kina kwa waumini wake wote
Hali ni tofauti na huku kwetu kila muumiini anajiona anajua na anayo mamlaka kuhoji au kumuhoji hata mchungaji wake...
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana
Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha
Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu wenye urefu wa kilomita 1.7 (kama maili 1.1) ambao umeundwa ili kuvuka sehemu nyembamba zaidi ya...
Tumefichwa kwa muda mrefu leo ukweli umejulikana.
https://progressive-alliance.info/guiding-principles/
Who We Are:
The progressive, democratic, social-democratic, socialist and labour movement is based on a common commitment to human rights and the joint pursuit of freedom, justice, social...
Kila siku zinavyozidi mbinu ya wenye tamaa ya madaraka kuzima mabadiliko kwa uhalifu na utekaji, uwepo wa kesi za mchongo, kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ndio inaamsha watu ndani na nje ya nchi kuunga mkono kwa kasi mabadiliko hayo,
uwenda pia bunge la marekani na dunia...
Adolf Hitler wa Ujerumani (1889–1945)
1. Fanya uongo kuwa mkubwa. Fanya uwe kwa lugha rahisi. Endelea kusema, na hatimaye watu wataamini.-Adolf Hitler
2. Kifo ndio suluhisho la matatizo yote. Hakuna mtu, hakuna shida.-Joseph Stalin
3. Huwezi kukimbia kwa kasi zaidi kuliko risasi-Ide Amin
4...
TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
Kila mmoja anajua na hata ualaya wanajua Lissu amehamasisha uwepo wa uchaguzi huru na wa haki nchini, sasa anae waelewa hawa G55 aje anieleweshe wanapinga nini ? kwenye mabadiliko hayo na progamu hiyo ya chama.
Ukiangalia vizuri hawa G55 wana ajenda ya siri nyuma ya pazia au wametumwa na mtu...
Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope?
Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu...
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli
Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.