duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatimaye Wanaanga waliokwama angani Miezi 9 warejea duniani

    Wanaanga wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams, pamoja na Mmarekani mwenzao Nick Hague na mwanaanga wa Urusi Aleksandr Gorbunov, hatimaye wamerudi duniani usiku wa kuamkia leo baada ya kukwama angani kwa miezi tisa. Wanaanga hao...
  2. CIA: Vituo vya Siri vya Operesheni za CIA Vilivyosambaa Duniani Vyatajwa kwenye Mafile ya JFK Yaliyowekwa Hadharani na Trump

    Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni zao duniani. Miongoni mwa miji iliyotajwa kuwa na vituo hivyo kipo Nairobi nchini Kenya. Miji...
  3. Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  4. Dada kama hujaolewa na unataka kuonja ladha ya peponi ukiwa hapahapa duniani hakikisha unaolewa na mwanaume tokea kanda ya ziwa au Mzanzibari

    Ugonile, kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa. Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli. Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
  5. Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  6. Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  7. Waanga waliokwama Angani takribani miezi 9 wamepatikana watarudishwa Duniani🌍

    Timu kutoka SpaceX Crew Dragon imefanikiwa kutiananga kwenye kituo kimoja cha kimataifa cha Anga za Juu (ISS) na kuweka mazingira mazuri ya kuwarejesha wanaanga wa NASA ambao wametumia karibu miezi tisa katika obiti. Wanaanga hao kutoka Nasa Sunita Williams Na Butch Wilmore wataweza kurejea...
  8. Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  9. Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  10. Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

    Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani
  11. Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  12. L

    Kwa nini Pendekezo la Ustaarabu Duniani limepongezwa sana barani Afrika?

    Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza uwazi na ujumuishi, usawa na kufunzana, Pendekezo hilo limetoa hekima ya China katika kukabiliana na...
  13. Tangu Yesu Kristo aondoke duniani zimepita siku mbili na dakika 25.

    Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
  14. Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  15. Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  16. Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  17. Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  18. Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  19. Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  20. Hivi huu mwezi ukilipuliwa , mabaki yake yataangukia huku Duniani?

    Nimekaa nikawaza hapa , hizi kombora za nyuklia wanazomiliki mataifa makubwa ,wakazitumia kuulipua mwezi Je mapande yake yataangukia huku duniani ? Au ikatokea umelipuka wote , mabaki yatabaki huko angani yakielea? Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…