Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo:
Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela:
🙍MWANAUME:👁️🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya njema, na mafanikio makubwa."
🙎MWANAMKE:👁️🗨️ "Asant".
Mapokeo - Mwanaume mwenye hela:
🙍MWANAUME:👁️🗨️ "Happy woman's Day jirani.
🙎MWANAMKE:👁️🗨️ "Wooow! Asanteeee, jaman nimefurahi mwenzako, asanteeee nashukuru jamaniiii, sikutegemea kama utaniwish jamoniii, Uuuwiii nimefurahiiii, leo umenisurprise. Ila umepotea huonekani yaani ni muda mrefu sikukuona, nakumbuka nilikuona jana kwa mbali, asanteee kwa kuniwish. Mzima lakini?🫣
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.