dunia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sani Dangote afariki dunia

    Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote died in the United States Sunday after a protracted illness, PREMIUM TIMES learnt. Relatively less...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mliosoma Political Science / Public Administration hivi Kitaalam huu Mtindo uliopo Dunia ya Leo unaitwaje?

    Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako. Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
  5. JamiiForums Tanzania Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

    Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia. Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania bhana yaani kwa Benchi hili la Ufundi lenye Watu 'dhaifu' kama Shedrack Nsajigwa, Ivo Mapunda na Nadir Haroub mliamini Kombe la Dunia mpo?

    Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Tsh Bilioni 1 ili Taifa Stars wafuzu Kombe la Dunia

    Ingawa matokeo ya leo yamenisikitisha sana, ila naona sawa tu tulivyorabuliwa na wakongo. Maana kama tungeshinda,CHAWA wa term hii ya uongozi wasingechelewa kuja na thread kama ; RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI KATOA BILLIONS OF DOLLARS ZA TOZO ILI STARS WAFUZU KOMBE LA DUNIA...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dunia yashuhudia China ambayo mlango wake umezidi kufunguliwa kwa nje tangu ijiunge na WTO miaka 20 iliyopita

    Na Fadhili Mpunji Mwaka huu China inaadhimisha miaka 20 tangu ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO. Tangu mwaka Novemba 2001 China ilipojiunga na Shirika hilo mjini Doha, uchumi wa China umekuwa kwa kasi na kutoka GDP ya Dola za Kimarekani Trilioni 1.3 ikiwa katika nafasi ya 6 duniani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mambo manne muhimu ya ufunguaji mlango aliyotaja Rais wa China kwenye CIIE yatanufaisha dunia

    Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi 127 duniani. Maonyesho hayo ambayo ni ya nne kufanyika toka yalipoanza kufanyika mwaka 2018, ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Wapelelezi wanatakiwa kumsaidia Rais kuithibitishia dunia Mbowe ni Gaidi na sio kucheza na majaji wetu pekee itatuweka kubaya

    Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao. Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria. Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa bingwa Kipchoge kwa dunia, akutana na Rais Samia

    Marathoner Eliud Kipchoge (left), President Uhuru Kenyatta (center) and his Tanzanian counterpart Suluhu Hassan at Glasgow Conference in Scotland on Tuesday, November 2, 2021. PSCU Legendary marathoner, Eliud Kipchoge, has offered potential solutions to world leaders on how to go about climate...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China ni manufaa kwa dunia nzima

    Na Fadhili Mpunji Ripoti iliyotolewa kwa pamoja na Idara ya takwimu ya taifa ya China, Wizara ya sayansi na teknolojia, na wizara ya fedha ya China, inaonyesha kuwa mwaka 2020 fedha zilizotumiwa na China kwenye mambo ya utafiti na maendeleo zilikuwa ni zaidi ya dola bilioni 378 ambalo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Kuna uwezekano Mkubwa Taifa Stars kufuzu kuingia Kombe la Dunia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zikifanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba Mosi, 2021 wakati wa kikao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent...
  15. JamiiForums Tanzania Tehran: Hatibu wa Sala ya Ijumaa asema Mabeberu wanalenga kuvuruga dunia

    Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu wanalenga kuvuruga usalama duniani 22:06 - October 29, 2021 TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama. Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Ulimwengu ungekuwa ni ‘Computer File’, ungekuwa na GB ngapi?

    Kama ulimwengu ukibadilishwa na kuwa quantified kama computer data, je, ni taarifa kiasi gani zingehitajika kutengeneza programme ya kugenerate ulimwengu, in terms of GB?
  17. JamiiForums Tanzania Google Earth itasaidia kuishangaza dunia juu ya kazi za Rais Samia

    Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima. Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Iponye nafasi yako; Dunia inapita

    Dunia hii rafiki inapita upesi imefikia mwisho itaangamia! Luka 17:32 DŮNIA IMELAANIWA na dhambi za wanadamu, leo Lecturer UDOM amefumaniwa akitaka ofa kwa college girl, hii si laaana, just imagine umepewa nafasi huudumie watu wewe unahumiza watu, umepewa nafasi uwaponye watu wewe unahumiza...
  19. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha Msaada kwa Sudan

    Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Uchumi wa Sudan, wakati huu ambapo unaanza kurejea katika hali yake Maamuzi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

    Kama dunia imekwama mahali fulani au imefanikiwa sana basi yote hayo mawili yamesababishwa na mwanamke. Wanaume wote kabisa kwa 90% ni wanawake kwa mawazo yao (ambayo ndiyo yanayotengeneza tabia zao na mifumo ya maisha yao), pia wanaishi mfumo ambao siyo dume bali jike (feminism) kasoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…