dunia

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kuiba kwenye ofisi za Betting Dar wafariki dunia

    Vijana wawili waliodaiwa kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge ITV na kutaka kupora fedha wamefariki kutokana na kipigo walichokipata kutoka kwa wananchi. Septemba 27, 2022, saa 3:30 asubuhi vijana hao walifika katika ofisi hiyo kama wateja wanaohitaji huduma na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dunia inaingia katika aina mpya ya USB4 toleo la 2.0

    Kwa sasa, vifaa vingi ambavyo vinatumia port ya USB Type C ambazo ni latest, zinatumia aina ya USB Type-C 3.2 ambayo ina Max speed ya 20GB kwa sekunde. Teknolojia inazidi kubadilika na dunia imeingia katika mfumo mpya wa USB 4 na sasa ni toleo la 2.0. The USB Promoter Group ni kikundi cha...
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

    Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
  6. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na ufadhili. Harakati zake hazikuwahi kuwa nyepesi, Hali bora ya maisha ya wananchi wake haikushuka kama...
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Mungu nisingeumba dunia yenye hali ya sasa

    Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia katika hali ya sasa. Ulemavu, magonjwa, vilio, mauaji, vita, ugaidi, ubakaji, rushwa n.k, vinaifanya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Udhaifu katika kuishawishi dunia bomba la mafuta ghafi

    Wadau wa sekta ya mafuta, mradi huu mkubwa wa bomba la mafuta Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania serikali zetu hazikutekeleza mikakati ya kuifahamisha dunia manufaa yake. Tulijifungia na kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa lugha zetu. Source : azam tv
  9. T

    JamiiForums Tanzania Maziko ya Malikia UK uwenda yakatikisa soko la hisa la dunia siku ya kesho (Black Monday)

    Igweeee taarifa zisizo Rasmi kesho ni siku itakuwa ngumu kuanzia kwenye masoko ya hisa ya dunia sector ya mawasiliano. Taarifa zinasema uwenda system zika down kwa masaa kadhaa wakati wa mazishi ya Malikia wa UK. Kwa mataifa masikini soko la fx litakuwa sio zuri na uwenda kwa mtu anafanya...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky apendekeza dunia kumtambua Rais Putin kama gaidi

    Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi Soma hapa Tortured, shot, killed’: Zelensky accuses Russia of genocide after Izyum mass grave...
  12. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Paul Milyango Rupia amefariki dunia nchini Afrika Kusini

    Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa Tanzania na alikuwa muungwana. Kifo chake kimetupokonya busara na bashasha zake. Balozi Paul Rupia...
  13. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na hiki kitendo, kweli sasa naamini Dunia imebadilika!

    Nimeshangaa wamasai wanalia. Wamasai wanalia Sabaya aachiwe! Hii inashangaza. Zamani hili jambo lingeitishiwa kikao na Maleigwani huko kwao. Mmasai anatakiwa apandishe Mori siyo kulia. Miaka hii Mmasai analia? Wamasai walikuwa walinzi miaka yetu walinzi wa kuaminika. Sasa hivi wasusi, Daaah...
  15. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  16. Nihilist

    JamiiForums Tanzania Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dunia haimpatii Mbowe heshima yake?

    Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa bahati mbaya. Utasikia Chagulanyi, Miguna, Ingabire Victore, Odinga, Malema nk. Sidhani kama dunia...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Upende usipende Dunia itakufundisha kutokudharau wengine

    Anaandika, Robert Heriel Vijana wenye Dharau na kiburi mnawaona Watu wazima wenye age 45-70. Msiwaone wapole😂😂 msiwaone Kama wamezubaa 😊 Walikuwa wanaringa Kama ninyi, walikuwa na Dharau na kiburi Kama ninyi. Ila Dunia imewafundisha, somo limewaingia. Ujana maji ya Moto wahenga walishasema...
  20. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Buriani: Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeth wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia

    Malika Elizabeti wa Pili Elizabeth Regina Elizabeth Regina with Julius Kambarage Nyerere of Tanzania. Royal Tour of Tanzania, 1979. Malika wa Mwisho wa Tanganyika, Elizabeti wa Pili wa Uingereza, amefariki dunia leo Septemba 8 2022 huko Kasri la Balmoral, Uskochi, Uingereza. Malika...
Back
Top Bottom