Sijui inflation rates, sijui GDP, sijui unemployment rates, sijui exchange rates,
hayo yote they mean katika uhalisia wa maisha ya ukweli yaliyopo mtaani.
Mara nyingi hizi rates zinakuwa propaganda za wavaa suit ku-prove wamefanya jambo au kuwa challenge wengine kwamba wameshindwa mambo.
Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto.
Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo.
Tuanzie hapa.
Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla.
Yanga imevuma sana huko nyuma...
Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo.
Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe.
Kwanini watu wanaopingia kwenye uislam hawaambiwi hili na kwanini iwe haki kuingia lakini siyo kutoka?
Nchini...
Kuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa Hujuma dhidi ya mradi zitaachwa ziendelee mpaka mradi kushindwa kutoa huduma,itakuwa jambo la aibu...
Hivi unajua kuwa dunia ina North pole mbili na South pole mbili, ambazo moja ni za magnetic na zengine na za geograpic.
Magnetic North poles na South pole ndizo zinazosaidia kwenye kuzuia mionzi hatari iliyopo kwenye space na solar flares zilizo kwenye jua.
Sayari kama Venus na Mars zenyewe...
GEOGRAPHICALLY
North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao
China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100.
Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR.
Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka.
Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha
Mfano mzuri mwamba mmoja toka guinea baltazar ,unaona dunia inavomuongelea mwamba kama ni haramia ilihali wanawake...
Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza
Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha
Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa...
Ni wazi huyu bwana ameishashinda Urais wa Marekani na anasubiri tu kupitishwa na kuapishwa hapo mwezi January. Kulingana na sera zake urais wake utakuwaje kwa Marekani na Dunia? Baadhi ya sera zake kubwa ni.
1. Kuongeza kodi kwa bidhaa kutoka China kwa asilimia 60
2. Kuongeza kodi kutoka...
Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake.
Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na mwenyekiti wa chama hicho, Othman Masoud Othman, imeeleza kuwa Gumsani...
Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine.
Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated...
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.