dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Urusi na China; Kuanguka kwa Dola na kuinuka kwa Yuan

    URUSI NA CHINA;KUANGUKA KWA DOLA NA KUINUKA KWA YUAN. Leo 14:30pm 06/03/2022 Rais wa Urusi,Vladimir Putin hakuivamia Ukraine bila mipango (kwa bahati mbaya),Urusi haifanyi kitu chochote bila mipango,Urusi na China wameisubiri siku hii kwa muda mrefu na sasa wameipata fursa adimu ya kuiangusha...
  2. JamiiForums Tanzania USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

    Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani. Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power. Je huku ndio kuupiga mwingi?
  3. JamiiForums Tanzania Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

    Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili. Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna utajiri mkubwa wa kusaka dola za Adsense online lakini sasa...

    Katika ulimwengu huu wa sasa teknolojia imekua kubwa, baadhi ya vijana wamejiajiri katika blogging, youtube, n.k. kwa hapa kwetu wapo a aina mbili Aina ya kwanza - kwa upande wa bloggers wengi bado wapo google adsense lakini wengi wao wanacheza wanapokea laki 2 jadi laki 8 kwa mwezi, hali hii...
  5. JamiiForums Tanzania UN kuchangisha dola bilioni moja za msaada kwa Ukraine

    Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths anayeshughlikia misaada ya kibinadamu, ameeleza hayo...
  6. JamiiForums Tanzania Al-Shabab walitumia dola milioni 24 kununua silaha mwaka jana

    Kundi la Al-Shabab nchini Somalia lilitumia dola milioni 24 mwaka 2021 kununua silaha, kulingana ripoti ya Taasisi ya Hiraal lenye makao yake Mjini Mogadishu. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Al-Shabab ambao wana ufungamano na Al-Qaeda, ina kusanya mapato ya karibu dola milioni 180 kila mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama ya ICJ yaiamuru Uganda kuilipa DRC faini dola milioni 325

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa ikidai zaidi ya dola bilioni 11 kwa uvamizi wa Uganda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  9. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa chumvi enzi za Dola ya Warumi

    Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni mfano wa vyakula vilivyo hifadhiwa na vilidumu kwa muda mrefu. Chumvi iliitwa dhahabu nyeupe na...
  10. JamiiForums Tanzania CCM imepasuka, wanaCCM wengi wanaugulia moyoni. Wapinzani tuweke mikakati ya kuchukua dola

    Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao. Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

    Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku waatanguka tu na kuachia madaraka. Siku hiyo ikifika, itakuwa hivi: Nguvu ya umma itakuwa kama wachezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
  13. JamiiForums Tanzania CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  14. JamiiForums Tanzania Apple imekuwa kampuni ya kwanza kufikia thamani ya soko ya dola trilioni tatu

    Kampuni kubwa ya kiteknolojia ya Marekani Apple imekuwa kampuni ya kwanza kupata hesabu ya soko la hisa ya $3tn (£2.2tn). Bei ya hisa za kampuni hiyo ilipanda kwa karibu asilimia The firm's share price has 5,800 tangu mwanzilishi mwenza na mtendaji mkuu wa zamani Steve Jobs kuzindua iPhone ya...
  15. JamiiForums Tanzania Inashangaza: Rais Samia mwezi Juni 2021 alisema akiba ya fedha za kigeni ni Dola bilioni 4,765

    Ndugu zangu haya mambo yanashangaza sana.Katika kipande cha video hapo chini Rais Samia Suluhu Hasan akiwa Mwanza mwezi juni 2021 alidai kuwa akiba yetu ya fedha za kigeni ni dola za kimarekani bilioni 4765. Ndugu zangu Mwezi Juni 2021 tuliambiwa tuna akiba ya fedha za kigeni dola bilioni 4765...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Vyombo vya dola vitaruhusu kundi la mgombea Urais lililoamini katika utekaji, upotezaji,na kutupa watu baharini?

    Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
  17. JamiiForums Tanzania Mauzo ya Bidhaa nje ya nchi (export)yameshuka kwa dola milioni mia sita sawa na trilioni moja.

    Kulingana na data za world Bank. Ukilinganisha na mwaka 2020 muda kama huu mauzo ya bidhaa nje ya nchi yameshuka kwa dola milioni miasita sawa na trilioni moja za kitanzania. Hii ukiachana na uhalisia kwamba chanjo imepatikana na biashara zimeanza kurejea katika hali yake. Nini chanzo cha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Huu si ushahidi kuwa CCM ni chama dola? Je, kuna mangapi yanafanyika juma ya pazia zaidi ya hili?

    By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter). "Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

    Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa. Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola. My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
  20. JamiiForums Tanzania Humprey Polepole na Genge lako mtakwama sana, hamuwezi kushindana na dola.

    Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi; 1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie. 2.Mmejaa visasi na roho mbaya 3.Dola ni kubwa kuliko kikundi chenu 4.Chama ni kikubwa kuliko nyie 5.Kuna wakati ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…