dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za utumishi wa umma ni bora uendelee kufanyika Dodoma. Mambo ya kikanda sijui kufanyika taasisi husika haijakaa sawa

    Habari wana bodi! Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu msaada wa lift ya kwenda Dodoma Jumatatu

    Wakubwa zangu msaada hali tete Naomba msaada lift ya kwenda Dodoma naomba nichangie hata elfu 7. Ninaenda kwa lengo la usaili.
  3. JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba yako na Fundi Tiles Dodoma

    Je unatafuta Fundi tiles (Fundi Vigae) (Fundi ceramics)? Kwa design nzuri na ubora wa nymba yako, tonaoatikana Dodoma. Tuna uzoefu wa miaka zaidi ya kumi Tunakufanyia free consultation na gharama za kazi yote pamoja na vipimo Piga Namba 0757915043
  4. JamiiForums Tanzania Basi la Bright Line Mwanza - Dodoma kwa hili nawapa kongole

    Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa. Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Dodoma: Auawa na polisi baada ya kuwashambulia kwa mishale iliyohisiwa kuwa na sumu

    Jeshi la polisi limethibitisha kuuawa kwa risasi Nada Songo(45), mkazi wa wilaya ya Chemba, katika harakati za kumkamata baada ya kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale iliyodhaniwa kuwa na sumu. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Martin Otieno amesema mtuhumiwa alifariki mara baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dodoma: Makarani wasusia sensa wakidai kutolipwa fedha zao

    Waongozaji 90 wa Makarani wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamesusia zoezi la Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote Nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao. Waongozaji hao wa Makarani wamedai kuwa waliahidiwa kulipwa laki moja kwa awamu mbili lakini hadi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa Fedha NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma (Fidelis Shauritanga) na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa Fedha za NHIF unaofanywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma na baadhi ya Watumishi

    Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, naomba kuwasilisha tuhuma za WIZI wa fedha za Umma katika Ofisi ya Mkoa wa Dodoma kwa miaka minne tangu 2018 mpaka 2022. Ninaamini taarifa hii itavifikia vyombo vinavyoshughulikia Maadili ya Viongozi wa Umma pamoja na Utawala Bora kwa ajili ya kuchukua hatua kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Wakuu mambo vipi? Naona ma PDF yameanza kumwagika, changamoto ya malalamiko ya kwanini Utumishi wako kimya, inakwenda kuisha huku changamoto nyingine zinazotokana na kuitwa zinaanza kuibuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni kwa wote, wanaokwenda kwenye Saili mbalimbali na hata wanaowategemea...
  10. JamiiForums Tanzania Dodoma: Warudisha mahari ili kunusuru watoto wao

    MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya, amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri wa miaka 14, wamekubali kurejesha fedha na mifugo waliyopokea kama mahari na kurudi na watoto wao nyumbani baada kugundua kuwa watoto wamekuwa wakiteseka...
  11. JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku (Dodoma) au sehemu husika kama wapo hapahapa Dodoma. Kwa kufanya hivyo, huwa wanaokoa gharama za...
  12. JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  13. JamiiForums Tanzania LGTI Dodoma mnawasumbua Watanzania

    Yaani kama kuna Mtanzania anaweza kuomba Chuo LGITI Dodoma online ajitokeze hapa. Ukute Muda huu IT wa Chuo anasubiri Mshahara wakati hakuna kinachowezekana. Simu hawapokei, wanakosesha mapato serikali, yaani shida tupu. Hii nchi inakuwa na vijana wa hovyo sana.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  15. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa 25 Julai, 2022: Mashujaa wa TANU watano Dodoma - 1955

    MASHUJAA WA TANU WATANO DODOMA MWAKA WA 1955: TUNAWAKUMBUKA SIKU YA MASHUJAA DODOMA 2022 Siku chache zilizopita nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Dodoma walalamika kupateliwa mafuta kikao cha RC Mtaka

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta. Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kumbukumbu ya Mashujaa Dodoma. Apendekeza Dodoma pajengwe mnara wenye hadhi ya makao Makuu ya nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais amewasili katika viwanja vya mashujaa Dodoma. - Gwaride la kumbukumbu ya siku ya Mashujaa limefanywa -...
  18. JamiiForums Tanzania Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

    Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mtaka atoa siku saba kwa wadanganyifu wa ardhi Dodoma

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari. Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…