dodoma

  1. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma aipongeza MSD kwa uwajibikaji na kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za Afya

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule ameupongeza uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa mabadiliko makubwa yanayoendelea katika taasisi hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa yamewezesha kupunguza malalamiko ya uhaba wa bidhaa za afya nchini, mathalani malalamiko ya uhaba wa dawa. Senyamule...
  2. JamiiForums Tanzania Treni Mchongoko yawasili nchini

    Seti ya kwanza ya EMU Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuwasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa seti ya kwanza ya Treni ya kisasa ya EMU, Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya Abiria ( iliyowasili ni seti moja ambayo kikawaida hufungwa behewa nane na vichwa viwili...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kuishi Dodoma

    Habari ndugu wana jukwaa, naomba kwa wazoefu wa Dodoma hasa maeneo ya Chidachi, Makulu, Mkonze na Kikuyu, mnisaidie natafuta nyumba ya kuishi, walau iwe na vyumba viwili na sebule, choo, jiko, maji, umeme. Bajeti yangu haizidi 200k
  4. JamiiForums Tanzania RTO na LATRA Dodoma na Singida: Basi la Isamilo T863 DSB limejaza abiria kuliko uwezo wake

    RTO na LATRA mikoa ya Dodoma na Singida, basi la ISAMILO T863 DSB kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, muda huu lipo Dodoma na limepakia abiria waliosimama zaidi ya 20. Cha ajabu basi limeingia standi kuu ya 88 Jijini Dodoma na hakuna Askari wa Usalama barabarani aliyeingia na kukagua ndani...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Dining Table (location - Dodoma)

    Salam wakuu, Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa mkoani Dodoma aweze kunielekeza ili nikawaone. Budget yangu NI isizidi 1M (meza na viti sita)
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka nitume mzigo kutoka Dodoma kwenda Arusha

    Naomba kuuliza nasafirishaje kitanda kutoka Dodoma kuja Arusha. Kwa mwenye kujua gari za mizigo Dodoma zinapopaki. Ahsanteni
  7. JamiiForums Tanzania Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lingefanywa na mtu wa kawaida angekuwa kashakamatwa

    Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria. Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote. Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuna internation school Gani nzuri Dodoma

    Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma inatia aibu kwa mazingira machafu

    Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku. Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana. Hii ni aibu, Uongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie Wanakijiji hawa wa Dodoma wanateseka kwa kukosa maji safi na salama

    Nimetazama video hii ya Habarika24 TV ikanikumbusha nilipowahi kufika kwenye hiki Kijiji cha Madaha Wilayani Chemba Mkoani Dodoma na vingine kadhaa vya jirani nilipoenda kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Nilikuwa na mwenyeji wangu ambaye alinieleza kuwa changamoto hiyo ni ya kawaida kwao...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma, Ipagala B tunasumbuliwa na adha ya kujaa kwa maji majumbani msimu huu wa mvua

    Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua. Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka ndani na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, TARULA na mpaka zima moto kwa ajili ya kuchimba mtaro wa kuruhusu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango gani na Dodoma?

    Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk Na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Shule Bora ya girls advance mkoa wa Dodoma

    Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
  14. JamiiForums Tanzania Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

    SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nauza dagaa nyama (uwono) Dodoma

    Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Dodoma niko mpweke sana, nahitaji company (sio mpenzi) kwa ajili ya kufurahiana

    Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔 Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater...
  18. JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

    Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…