Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha mikataba.
Mmiliki kwa kuwa tabia yake ni kudhulumu mali zetu, pindi unapotaka kumaliza deni ofisi...
WANANCHI DODOMA JIJI WAGAWIWA MAJIKO YA GESI 1000 KUUNGA MKONO NISHATI SAFI
-RC Senyamule ampongeza Mbunge Mavunde kwa ufadhili wa majiko
-Vituo vya Afya,Shule,Vituo vya kulea watoto na Mama/Baba Lishe wanufaika
-Mbunge Mavunde amuunga mkono Rais Samia kwenye kampeni ya Nishati safi
Dodoma📍...
MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
DODOMA
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la Wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili Wananchi.
Uzinduzi huo umefanyika nje ya jengo hilo ambalo kuna eneo wanakaa...
Wakuu kama mtakumbuka mwezi mmoja uliopita niliandika Mada kuhusu wasajili lain za simu wanavyotapeli Watanzania wenzetu.
Sina mengi naomba uchukue Muda kidgo sikiliza audio hapo chini
Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu.
Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji
#KijanaNaKijani...
MWENYEKITI KAWAIDA(MCC) AONGOZA KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI YA UTEKELEZAJI MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Ameongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji Maka makuu ya UVCCM Dodoma, tarehe 16 Septemba...
UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na taifa kwa ujumla.
Kanuni ya UVCCM ndiyo inasema kwamba sisi kama vijana kazi yetu ni kwenda kuwa...
Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali.
Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000
Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm
Ni surveyed pot
Fixed Price
Interested njoo PM
Au
+254746360628 only whatsapp
Ramani ipo kwenye attachment
Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari.
Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.
=====
UPDATES: 2200HRS
======
TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.
UPDATES 2...
Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika.
Naomba nianze na Dar es salaam nilipo.
Kivule Sokoni = Kila Jumanne
Kitunda = Kila Ijumaa
TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
-Mbunge Mavunde atangaza zawadi nono za washindi
-Anuia kuendeleza na kuvikuza vipaji vya Vijana Dodoma
-GSM Water na Asas Dairies wanogesha mashindano kwa ufadhili
Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amezindua rasmi ya Ndondo Cup Dodoma 2024 ambayo yanaratibiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.