dodoma

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania UVCCM Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho

    UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewaonya wanasiasa wenye nia ovu ya kukichafua chama hicho na viongozi wao na badala yake kuwataka wajikitike kwenye sera za kujenga vyama vyao na taifa kwa ujumla. Kanuni ya UVCCM ndiyo inasema kwamba sisi kama vijana kazi yetu ni kwenda kuwa...
  2. mzee kokona

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma mjini mfumo wa majitaka mbovu sana, pananuka kinyesi

    Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya Dodoma kwa mtaji wa milioni 2?

    Naomba ushauri wenu kujua ni aina gani ya biashara ambayo mtu anaweza kufanya Dodoma akiwa na milioni mbili.Asante
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  5. Anna Deo

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule linauzwa Dodoma Eneo la Mtumba Mji wa serikali

    Eneo la shule linauzwa Dodoma , Mtumba Area karbu na mji wa Serikali. Ukubwa wa eneo: Sqm 33,000 Bei: Tsh 10,000 kwa Sqm Ni surveyed pot Fixed Price Interested njoo PM Au +254746360628 only whatsapp Ramani ipo kwenye attachment
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  7. version001

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari. Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko. ===== UPDATES: 2200HRS ====== TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa. UPDATES 2...
  8. Tanki

    JamiiForums Tanzania Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndondo CUP Dodoma 2024 Yazinduliwa kwa Kishindo

    -Mbunge Mavunde atangaza zawadi nono za washindi -Anuia kuendeleza na kuvikuza vipaji vya Vijana Dodoma -GSM Water na Asas Dairies wanogesha mashindano kwa ufadhili Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amezindua rasmi ya Ndondo Cup Dodoma 2024 ambayo yanaratibiwa na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya Mama na Bintiye mkoani Dodoma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

    Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitangaze Dodoma kuwa jiji hatari kwa usalama wa Raia

    Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi. Haipiti...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Biteko kufunga Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Dodoma, Septemba 6, 2024

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Mashaka Biteko anatarajiwa kuzungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, leo Septemba 6, 2024. Mkutano huo ambao unafanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali imepokea taarifa ya mwisho ya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa chuo mahiri cha TEHAMA - DTI, Dodoma

    Serikali imepokea taarifa ya mwisho ya upembuzi yakinifu wa ujenzi Chuo Mahiri cha TEHAMA (Digital Technology Institute - DTI) katika eneo la NALA, Dodoma kutoka kwa Mshauri elekezi kutoka Muungano wa Chuo Kikuu cha Hanyang kinachojumuisha Chuo Kikuu cha Hanyang, Kampuni za Uhandisi na Usanifu...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Day 2: Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Dodoma, Septemba 5, 2024

    Mkutano wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (Annual Non-Government Organizations Forums), Jijini Dodoma, unaelekea leo Septemba 5, 2024 ikiwa ni siku ya pili yhangu ulipoanza. Mkutano huo ambao unafanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete umepangwa kufanyika kwa siku tatu...
  17. Mjuba og

    JamiiForums Tanzania OCD wa Dodoma na OCCID wafunga Kanisa la AGGCI Kizota Dodoma

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida, Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Dodoma Mjini na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Jumapili tarehe 1 September 2024 walimbatana na wananchi waliovamia Kanisa la AGGCI Kizota kinyume cha Sheria wakati Ibada ikiendelea na kufunga Kanisa Hilo ambalo kwa sasa lipo chini ya...
  18. rkid49

    JamiiForums Tanzania Fundi gari dodoma

    Nipeni location ya garage yenye fundi gari anayeaminika DOdoma
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato (Dodoma) wafikia Asilimia 72

    Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeridhishwa na Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato jijini Dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye Barabara ya kuruka na kutua ndege huku Jengo la abiria likifikia asilimia 39. Hayo yamesemwa leo...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Laboratory technician, Mkoa aloombea Ajira ni Dodoma, Utumishi wamembadilishia na kumpeleka Tanga, Oral interview ni wapi?

    Je, baada ya Written interview atakayofanyia Dodoma , akifaulu kwaajili ya Oral Interview, atamfanyia Mkoa Upi? Dodoma ( alouombea ) yeye mwenyewe, au Tanga (alipobadilishiwa na Utumishi).?.
Back
Top Bottom