dodoma

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wananchi walalamika Diwani wao kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo

    Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo katika kijiji chao. Wakizungumza na waandishi wa...
  2. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Hivi kipande cha SGR kutoka Dodoma mpaka Singida kina kamilika lini?

    Nimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika? Na kwanini unakuta muda mwingi...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma

    Hivi ndivyo ulivyo muonekano wa mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa ajili ya Watumishi wa Umma eneo la Nzuguni Mkoani Dodoma. Mradi huu unahusisha ujenzi wa nyumba 3,500 ambapo tayari ujenzi wa Awamu ya Kwanza ya nyumba 150 umekamilika kwa gharama ya shilingi bilioni 14.37 na tayari...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Bwawani Dodoma walalamika kunyanyaswa na diwani kisa kudai maendeleo

    Wananchi wa Kijiji cha Mlowa Bwawani, Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma, wamemlalamikia Diwani wa kata hiyo, Andrew Richard Mseya (CCM), kwa madai ya kutumia mamlaka yake kuwanyanyasa, kuwapiga, na kuwatoa vitisho pindi wanapodai maendeleo katika kijiji chao. Wakizungumza na waandishi wa...
  5. Say my name

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma, Nkuhungu

    Habarini za muda huu wana jukwaa?, kiwanja kisicho na kipengele chochote kinauzwa kwa bei ya jioni kabisa, kipo karibu na shule ya saint home ya Nkuhungu, kwa mwenye uhitaji apige namba ifuatayo 0623799381, details nyingine zipo kwenye kielelezo cha picha hapa chini ya uzi huu!
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wanavyuo waazimia kumuunga mkono Rais Samia Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT yafanya dua ya shukrani kwa miaka 4 ya Rais Samia

    Wakuu, Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) imefanya Dua Maalum ya Shukrani na Kumuombea Rais Samia kwa Uongozi wake mahili katika kipindi cha Miaka Minne ulioleta maendeleo na neema kwa Taifa la Tanzania na kuongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Mustafa...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre. Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko la Majengo Dodoma na maswali ninayojiuliza

    Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
  12. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta maisha hamia Dodoma hutajutia

    Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani. Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3000 Dodoma kunufaika na kozi mbalimbali kutoka VETA, wewe unasubiri nini?

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wakina mama wa kikundi cha wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanajifunza kwa makini na kuwa tayari kupokea mafunzo watakayopatiwa na Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) kwani yatawasaida kwenda kuajiliwa na kuwa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kamanda wa Polisi, George Katabazi achangia ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi

    Katika juhudi za kuimarisha usalama na kupambana na uhalifu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP) George Katabazi ameungana na wananchi wa Kata ya Ihumwa kwa kuchangia vifaa vya ujenzi wa kituo kipya cha polisi jijini Dodoma. Hatua hii imeungwa mkono pia na wadau mbalimbali, ambao wamejitolea...
  16. cyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Tunduru

    Wakuu salam. Kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu usafiri wa mabasi kutoka dodoma kwenda tunduru ikiwezekana nauli take. Asanteni.
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kliniki ya afya inaendelea na matibabu ni bure

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweri amewataka wananchi wa maeneo mbalimbali ya hapa Dodoma kushiriki katika Kliniki inayotoa matibabu bure katika kituo cha Afya Cha Chang'ombe hii leo kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge yapongeza ujenzi wa jengo la wizara ya nishati - Mtumba

    📌Ujenzi wafikia 94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
Back
Top Bottom