dodoma

  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni ya mama asemewe kuandaa kongamano kubwa la wanavyuo Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

    Kampeni ya Mama Asemewe chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Geofrey Kiliba, imeandaa kongamano kubwa la wanavyuo kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Dodoma, litakalofanyika tarehe 29 Machi 2025 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre. Kongamano hilo linalenga kuwakutanisha wasomi kwa ajili ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko la Majengo Dodoma na maswali ninayojiuliza

    Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
  5. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta maisha hamia Dodoma hutajutia

    Dodoma, jiji kuu la Tanzania, linajivunia hali ya hewa ya kupendeza, wanawake wenye haiba nzuri wenye kila sifa ya kuitwa warembo9hasa kondoa), na sehemu bora za burudani. Mji huu unakua kwa kasi, ukiwa na fursa tele katika biashara, kilimo, na uwekezaji. Utalii wa ndani unashamiri kwa vivutio...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wanawake 3000 Dodoma kunufaika na kozi mbalimbali kutoka VETA, wewe unasubiri nini?

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewahimiza wakina mama wa kikundi cha wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanajifunza kwa makini na kuwa tayari kupokea mafunzo watakayopatiwa na Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA) kwani yatawasaida kwenda kuajiliwa na kuwa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kamanda wa Polisi, George Katabazi achangia ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi

    Katika juhudi za kuimarisha usalama na kupambana na uhalifu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (SACP) George Katabazi ameungana na wananchi wa Kata ya Ihumwa kwa kuchangia vifaa vya ujenzi wa kituo kipya cha polisi jijini Dodoma. Hatua hii imeungwa mkono pia na wadau mbalimbali, ambao wamejitolea...
  9. cyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Tunduru

    Wakuu salam. Kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu usafiri wa mabasi kutoka dodoma kwenda tunduru ikiwezekana nauli take. Asanteni.
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandaoni

    Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196. Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kliniki ya afya inaendelea na matibabu ni bure

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweri amewataka wananchi wa maeneo mbalimbali ya hapa Dodoma kushiriki katika Kliniki inayotoa matibabu bure katika kituo cha Afya Cha Chang'ombe hii leo kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge yapongeza ujenzi wa jengo la wizara ya nishati - Mtumba

    📌Ujenzi wafikia 94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wafanyabiashara wagoma kuhama soko wakihofia kunyang’anywa vizimba

    Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Dodoma Majengo wamegoma kuondoka kwenye soko hilo kwenda kwenye masoko mengine ya pembezoni kupisha ukarabari na badala yake wamehamishia biashara zao nje kuzunguka soko hilo kwa kile wanachodai wanahofia kunyang’anywa vizimba vyao wakati litakapokamilika pamoja na...
  15. Mamtolo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujiunga na Bolt Driver Location Dodoma

    Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli. Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Quick_connecttz fanya delivery zako na sisi ndani ya Dodoma

    HELLO QUICK _CONNECTTZ inakusogezea huduma nzuri ya delivery kwa watu walikosa nafasi na walio bizy tunafanya delivery maofisini na hata mahitaji ya nyumbani kama vile mboga mboga na nafaka kwa beii nafuu na haraka zaidi . Una mzigo unataka kupokea kutoka stendi kukufkia ulpo tupo kwa ajili...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi yakabidhi bure hati miliki za kimila kwa wakazi 360 Bahi, Dodoma

    Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini. Utoaji wa hati hizi...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo unategemewa kutatua changamoto ya usafiri

    Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza watu wa Singida na Dodoma huwa wanaishi vipi

    Natokea Kanda ya ziwa Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini Makazi duni, watu wanakaa mapangoni juu wameezekea tope yani nyumba unaingia halafu ndani Kuna pango...
Back
Top Bottom