dodoma

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nishati ungefanyika Dodoma! Wageni wangelala na kustarehe wapi?

    Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania! Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma. Labda tuwaulize tu wale Team Dodoma. Mkutano ungefanyika Dodoma Wageni wangelala wapi? Dodoma Hotel? Domiya? Au pale Rafiki...
  2. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

    Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma. Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi. Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma. Marais wakija Tanzania waende...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Machinga kusherekea siku ya kuzaliwa Rais Samia kwa kutoa punguzo la 30% kwa bidhaa zote

    Wakuu, Kunaanza kunoga huko😂😂😂. ===== Wamachinga wa Soko la Wazi la Machinga Complex, jijini Dodoma, wameandaa sherehe ya kipekee kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itakayofanyika Januari 27, 2025. Katika kusherehekea...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mavunde Awawezesha Kiuchumi Wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    ▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apewa jina lenye asili ya kigogo lenye maana ya jemedari wa vita

    Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

    Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

    Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii. Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama. Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

    Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma. Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Philip Mpango ameshindwa kuacha legacy ya kuiacha Dodoma ya kijani japo Wizara ya Mazingira ilikuwa chini yake

    Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyekuwa nikimuhamasisha Mzee Philip Mpango afanye kampeni kubwa ya kuifanya Dodoma ya kijani kwa kupanda mamia ya mamilioni ya miti. Hii ingemuacha na kumbukumbu kubwa sana. Huko duniani fedha za mazingira zimejaa tele. Mzee hata hilo lilimshinda. Mji wa serikali...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamemaliza yote Dodoma, yanayofuata ni kukamilisha ratiba tu hadi 2030

    1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma. 2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy. **Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
  13. R

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

    Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara. Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lema kutikisa Dodoma leo tarehe 19/01/2025, Amfuata Msigwa

    Ni suala la muda tu, mambo yote yako tayari. Ni mtikisiko mkubwa.
  15. P

    JamiiForums Tanzania DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

    https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2 Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa. Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  18. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Hili shimo barabara ya Dodoma hapa stand ya Dodoma mjini Morogoro hamulioni?

    TANROADS naomba niseme tu hamko makini. Kuna shimo lipo stand ya Dodoma MJINI Morogoro jirani kabisa na Substation kubwa kabisa ya TANESCO linasumbua sana!! Kuna watendaji nahisi hawaelewi wajibu wao katika taasisi za Serikali especially TANROADS. Na hili shimo ipo siku litasababisha ajali...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya CCM Mkutano Mkuu ni uchaguzi, Uteuzi au kuthibitisha Uteuzi? Hivi hiki kilichofanyika

    Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ? Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa umechagua nini? Wapiga kura wamepiga kumchagua mzee Wasirsa na nani alikuwa mpinzani wake? Kura za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi sana waitwa Dodoma mkutano wa CCM

    Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa kishindo kikubwa tu. Gharama za wasanii: 1. Usafiri 2. Malazi 3. Chakula 4. Posho Ninajua hizo...
Back
Top Bottom