Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania
Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo
Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
Natafuta magari 7 ya kukodi kwa ajili ya Biashara ya Taxi mtandao kwa jiji la Dodoma. Mawasiliano haya 0765777196.
Malipo kwa wiki bila kupindisha Tsh 150,000/=.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaj Jabir Shekimweri amewataka wananchi wa maeneo mbalimbali ya hapa Dodoma kushiriki katika Kliniki inayotoa matibabu bure katika kituo cha Afya Cha Chang'ombe hii leo kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni
📌Ujenzi wafikia 94%
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025...
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Dodoma Majengo wamegoma kuondoka kwenye soko hilo kwenda kwenye masoko mengine ya pembezoni kupisha ukarabari na badala yake wamehamishia biashara zao nje kuzunguka soko hilo kwa kile wanachodai wanahofia kunyang’anywa vizimba vyao wakati litakapokamilika pamoja na...
Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli.
Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)
HELLO QUICK _CONNECTTZ inakusogezea huduma nzuri ya delivery kwa watu walikosa nafasi na walio bizy tunafanya delivery maofisini na hata mahitaji ya nyumbani kama vile mboga mboga na nafaka kwa beii nafuu na haraka zaidi .
Una mzigo unataka kupokea kutoka stendi kukufkia ulpo tupo kwa ajili...
Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imekabidhi hati miliki za kimila kwa wakazi 360 wa Kijiji cha Mpinga, Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, bila malipo yoyote. Hatua hii ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza migogoro ya ardhi na mipaka vijijini.
Utoaji wa hati hizi...
Kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Zegele - Chikopelo yenye urefu wa kilomita 16, pamoja na ujenzi wa kalavati la Chikopelo, kumeleta faraja kwa wananchi wa vijiji vya Chikopelo na Zegele, wilayani Bahi, Dodoma. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...
Natokea Kanda ya ziwa
Tanzania kubwa na nimetembea baadhi ya maeneo ila aisee hii Kanda ya kati ni shida
Ukiwa safari huoni mgombea, majaruba, Mti wa mhogo n.k yaani sehemu ni kame kama Nini
Makazi duni, watu wanakaa mapangoni juu wameezekea tope yani nyumba unaingia halafu ndani Kuna pango...
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC).
Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
Katibu Tawala Msaidizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mkoani Dodoma, Vincent B. Kayombo, amefungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa Kiingereza na Hisabati katika wilaya ya Kondoa. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ushirikiano na Mradi wa Shule Bora, unaolenga kuboresha elimu nchini.
Kayombo...
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI
Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi Simba .
Naambiwa hapa kuna ahadi ya kila mchezaji kupata Sh Milioni 5 kama watashinda leo dhidi ya Mnyama.
Wakuu
Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho.
Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi.
Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20 na Jimbo la Dodoma Mjini lenye kata 21.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.