dodoma

  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mashindano makubwa ya drafti kufanyika Dodoma. Hii ndio listi

    Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini ZAWADI KWA WASHINDI 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 Mshindi wa kwanza Tsh laki nne Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu Mshindi wa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
  3. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

    Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  5. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Dodoma

    NYUMBA INAUZWA IPO DODOMA MNADA MPYA KARIBU NA ZAHANATI 🏞Kiwanja 450 sqm vyumba 3 (1master) ▶Sebule ▶Jiko ▶Dininig ▶Store ▶Public toilet 💸💸💸Bei=50M 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  6. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

    Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌ Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yasogeza huduma za kibingwa na kibobezi Dodoma na Mikoa jirani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma. Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025 katika kiwanja cha Chinangali Park, Dodoma ambapo Daktari Bingwa Mbobezi wa mifupa MOI, Dkt Tumaini...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP) *Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
  9. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mabegi kama haya nitapata wapi Dar, Mwanza, Arusha au Dodoma?!

    Asanteni
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na Ubora wa Barabara zinazojengwa Dodoma na Tanzania kwa Ujumla. Kuna harufu kubwa ya Rushwa na Kutojali

    Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

    Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maaskofu 500 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima watinga Mahakamani kufuatilia kesi ya Kanisa kufungiwa

    Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa dini mbalimbali wakiwemo wa kanisa hilo waliofika kusikiliza shauri hilo. Msajili wa Jumuiya za...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania No reforms no election ya Dodoma ilikuwa ni Tishio kubwa sana kwa Mamlaka

    GT Aisee nimepitia twiter kuangalia ile nyomi ya dodoma yaani makao makuu ya nchi na bunge, kwa kweli sijshangaa chadema kupigwa stop, watu waliitwa wakaitika hakuna mfano. Ukweli usemwe tu kwa sasa watanzania kuna kitu wanahitaji ambacho CCM hawana, ni suala la mda tu hizi sarakasi za CCM...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mavunde Azindua SACCOS ya Waendesha Pikipiki na Bajaji Dodoma

    MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO) Dodoma Mbunge wa Jimbo la...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Trafick Police wa Dodoma ‘wanatusuuza’ sana tena live kwenye magari

    Wanatufanya hamna yani hujampa hela ya kiwi (2000) anakuweka mkeka bila kujali kama unalisha familia kwa kuwa barabarani #dereva wa daladala
  18. M

    JamiiForums Tanzania Best CPA tuition providers in Dodoma

    Habari zenu wapendwa, Naomba kujua center gani ni nzuri kwa ajili ya CPA review classes kwa Dodoma?
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  20. 2019

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
Back
Top Bottom