dodoma

  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Picha hii ni ya Gwajima kutoka mkutano mkuu wa CCM Dodoma Mei 29, 2025

  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinatakiwa kiwanja 6m Dodoma sqm 1200 na zaidi eneo lenye umeme

    Dogo mpambanaji anataka kiwanja, kwa bei hiyo. Kuwe na huduma ya umeme
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana CCM walivyoomba kupiga picha na Luhaga Mpina kwenye Mkutano wao Mkuu Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum wa CCM

    Wajumbe ukumbi uko tayari Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum utakao fanyika kesho tarehe 29. Na tarehe 30 may utakao ongozwa na mwenyekiti wa chama chama cha mapinduzi Samia Suluhu Hassan
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  6. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
  8. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri leo Mei 23, 2025 katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo, jijini Dodoma wakati wa mkutano wa waziri wa ardhi

    # Wizara imeandaa programu maalum ya uendelezaji upya maeneo yaliyochakaa katika miji mbalimbali nchini. Programu hii itasaidia kuboresha huduma za msingi katika maeneo hayo na hivyo kuyawezesha kuchangia ipasavyo katika Pato la Taifa. # Programu hii imelenga kuboresha maisha ya wakazi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jiji la Dodoma latenga Tsh. Bilioni 6 kuunga mkono miradi inayoibuliwa na Wananchi

    Mwenyekiti wa kamati ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, Mei 22, 2025, amekabidhi matofali 41,000 na Saruji tani 102 kwa kata zote 41 za Dodoma Mjini kwa lengo la kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi katika ujenzi wa miundombinu ya Elimu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesomewa taarifa hiyo alipotembelea ujenzi huo ili kuona maendeleo yake. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 112.3, ni miongoni mwa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Awataka Wakandarasi Dodoma Ring Road Kuongeza Kasi

    ULEGA AWATAKA WAKANDARASI DODOMA RING ROAD KUONGEZA KASI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (km 112.3) ambapo kwa sasa umefikia zaidi ya asilimia 85 ya utekelezaji wake. Ulega ameeleza hayo leo Mei...
  18. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinapatikana Nzuguni Dodoma

    Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami ukubwa tofauti tofauti 774, sqm 427, sqm 618, sqm 651 sqm. BEI ni kuanzia million 5 ,6,8 adi 14...
  19. Hharyson

    JamiiForums Tanzania HOTEL LANDSCAPE DODOMA ,WE DO BEST DESIGN FOR ALL BUILDING JUST CALL US +255624004650

    CALL US +255624004650
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

    Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe...
Back
Top Bottom