Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo
Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana
Mbunge Mama...
Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao.
Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000...
Kata ya Mtumba, Halmashauri ya Jiji la Dodoma yapatiwa jumla ya shilingi 83,000,000 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuboresha maisha yao.
Hayo yalielezwa na Afisa Maendeleo ya Jamii Kata ya Mtumba...
Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa zilizowekwa na Malawi Machi 13, 2025. Hatua hiyo imefikiwa kupitia mkutano wa pamoja wa mawaziri uliofanyika...
Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica)
Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha yeye pamoja na bwana wake aitwaye Paroko...
Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji wa nafasi hizo,bila kuanisha utaratibu wa kutuma maombi hayo kwenda Makao makuu ya jeshi Dododma...
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili...
Katibu Mkuu Umoja wa wazazi Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Ally Hapi amewasisitiza Vijana kutoka TK Movement kuwa imara na kuepukana na wale wote wenye nia mbaya na Nchi ya Tanzania hivyo amewasisitiza vijana kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotegemea kufanyika hivi karibuni.
Katika hali inayotia simanzi, Jambo TV imeinasa video inayoonesha kundi kubwa la wanafunzi wa Shule ya Msingi Kinangali, Kata ya Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakisoma wakiwa wamekaa chini bila madawati – mazingira ambayo ni kinyume na mazingira bora ya ujifunzaji hususan kwa kasi ya...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kujadiliwa.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
Nilienda kununua mafuta ya kura na nilihitaji mafuta ya Alizeti maeneo ya Sabasaba, baada ya kufika kwenye hilo duka la mafuta na lina mchanganyiko wa bidhaa za chakula, alitoka msichana na kuniuliza ninahitaji nini?
Nilimueleza nahitaji mafuta ya Alizeti akanitolea moja ya dumu la lita tatu...
My Take
Watu wanaoishi Dar wanapata shida sana Kila siku taabu.
Kuna likiwaka taabu joto kama Afghanistan na Khartoum
Mvua ikinyesha mafuriko kilamaha vinyesi vinaelea njia hazipitiki.
Hongera sana Nyerere, Magufuli & Samia.Dom nk Mji salama na sahihi kuwa Capital City
Katika tukio jingine...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026...
KAMATI YA BUNGE YARIDHIKA NA MAENDELEO MRADI WA MEMBE
Yamuomba Rais Kuongeza Utoaji wa Fedha Miradi ya Umwagiliaji
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imeridhishwa na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Bwawa la Umwagiliaji Membe.
Bwawa hilo ambalo linajengwa...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Geofrey Mwamsojo kumrudishia shamba lake, Bi. Madina Hassan kutoka kwa Moses Kabeja anaetajwa kulimiliki bila kufuata utaratibu wa kisheria.
Mhe. Ndejembi ametoa...
My Take
Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai.
===
Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema Jimbo hilo kupata ushindi wa 'Cleen Sheet' kila chaguzi zinazofanyika ikiwemo 2020 ni sababu ya eneo hilo kuwa kitovu na ngome ya demokrasia kwa CCM katika mkoa huo.
Ndugai ambaye ni Spika Mstaafu wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.
Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abduhabib Mwanyemba, amewataka viongozi wa dini na baadhi ya taasisi nchini kuacha kuingilia masuala ya siasa, akisisitiza kuwa Tanzania inaongozwa kwa misingi ya sheria na si kwa presha ya mitandao ya kijamii...
Rais Samia akizindua Toleo la Sheria Zilizofanyiwa Urekebu la Mwaka 2023 Chamwino Dodoma Aprili 23, 2025
https://www.youtube.com/live/po15xrrRr54?si=lMhXCak4Dxa0aCp1
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.