Habari wakuu,
Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara.
Napendelea kupata maeneo ya...
Kada na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Madukani Dodoma Mjini, Elias Njoji amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea udiwani kwenye kata hiyo
Njoji amekabidhiwa fomu jana Julai Mosi, 2025 na Kaimu Katibu Kata ya Madukani, Neema Magoda
Soma pia: Pre GE2025 -...
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri hadi raha. Hata ukiangalia picha za Dodoma asilimia kubwa mazingira yake yanang'aa.
Kuanzia ujenzi...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Ndugu Pili Hassan Moshi leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini katika uchaguzi mkuu ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Mshauri wa Rais, Dkt. Fabian Madele amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea jimbo la Dodoma Mjini.
Leo chama hicho kimefungua pazia kwa makada wake kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania Ubunge na Udiwani.
Wakuu, nataka kwenda Dodoma kwa treni ya umeme. Aliewahi kutumia usafiri huu atujulishe utaratibu tafadhali.
Dodoma nitakaa siku moja then nitapita " Singida" Kisha Igunga, ikifuatiwa na Tabora mjini " Chuo cha Uhazili" Then Mwanza jiji Rock City ambako nitakaa kama wiki moja hivi Insha'Allah...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga Bunge hilo hatua hiyo itaruhusu kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA
▪️RC Senyamule ampongeza kwa jengo na uanzishwaji wa ujenzi wa uzio
▪️Rais Samia apongezwa kwa maboresho makubwa ya huduma ya Afya
▪️Wananchi wamshukuru Mbunge Mavunde kwa utatuzi wa changamoto ya muda mrefu...
FREELANCERS
Uwe mkazi wa Morogoro au Dodoma.
Umri miaka 20 - 30.
Elimu kidato cha nne - kuendelea.
Kazi - kutafuta masoko ( wateja wa huduma zetu )
Kazi zetu ni Installation & supplying - Security systems, Tv systems, Domestic electrical n Other IT solutions.
Malipo ni kwa kazi, kuanzia 30,000...
nyumba ina vyumba 3 vya kulala
chumba kimoja master
vyumba 2 vya kawaida
seble
dinning
jiko
store
public toilet
nyumba ina mita 11 kwa 9.5
ukitaka tukujengee nichek 0743257669
Nakumbuka Mkuu wa mkoa na waziri Mchengerwa alishawahi kulalamika uzembe wa kupangilia abiria sehemu ya kusubiri kuingia kwenye treni ya SGR
Inaonekana meneja wa SGR dodoma ana kiburi au uwezo mdogo
Treni imeshakaa.mkao wa.kuondoka, bado abiria wanazuiwa kuingia mpaka zinabaki dk 10 ndio...
Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani Dodoma, Dodoma Jiji kuzisaka Alama tatu muhimu ili kuendelea kutia mkazo wa kuwania kombe la ligi kuu...
Siku ya Tarehe 25/6/2025 kutakua na ligi kubwa itakayofanyika DODOMA ligi hiyo itawakutanisha mafundi wa drafti kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini
ZAWADI KWA WASHINDI
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Mshindi wa kwanza Tsh laki nne
Mshindi wa pili Tsh Laki mbili na nusu
Mshindi wa...
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji...
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao...
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki wiki ya Utumishi wa Umma inayofanyika katika Kiwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Huduma zimeanza kutolewa leo Juni 16, 2025 katika kiwanja cha Chinangali Park, Dodoma ambapo Daktari Bingwa Mbobezi wa mifupa MOI, Dkt Tumaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.