dodoma

  1. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kiiuchumi kwa Tanzania Kutokana na Machafuko ya Ubaguzi Afrika Kusini nafasi ya Bandari ya Dar es Salaam na Reli ya SGR kuelekea Dodoma

    Katika miaka ya karibuni, nchi ya Afrika Kusini imekumbwa na matukio ya mara kwa mara ya ubaguzi wa wageni, hasa dhidi ya raia wa mataifa ya Afrika kama vile Zimbabwe, Malawi, DRC na Mozambique. Hali hii imesababisha: Wimbi la uhamaji wa watu kutoka Afrika Kusini, Kupungua kwa imani ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mliotangulia Dodoma Rudini Makwenu, Hakuna Posho ya safari wala Per diem🤣🤣

    Kuna wale Wajumbe wa Mkutanao Mkuu wa CCM waliotangulia Dodoma kula bata eti wakisubiri Mkutano Mkuu. Warudi makwao tu. Wasitegemee kupata Posho ya safari wala Per diem. Imekula kwenu.🤣🤣🤣
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaongoza maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa -Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi leo katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika kwenye Uwanja wa Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. https://www.youtube.com/live/vvJ8gjVKhns?si=w7pu2HxrbmchZaTX Kila tarehe 25 Julai ya kila mwaka...
  5. Hornet

    JamiiForums Tanzania Asanteni Dodoma Marathon

    Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma, Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine? Nimeona mpaka TRC imepandisha bei za Tickets kumaanisha kuna ongezeko la mapato. Washiriki wekeni likes hapo...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu

    Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo zimetolewa na serikali zimetumika kujenga shule mpya 41 za Sekondari ambazo miongoni mwake ni pamoja...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushamba unavyoleta Usumbufu kwa watumia barabara Dodoma

    Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi. Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana. Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani. Kama huyu...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania MD Twange akagua maendeleo ya miradi ya umeme Dodoma

    Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange Julai 18, 2025 amefanya ziara ya kuagua maendeleo ya Miradi ya umeme ukiwemo wa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Zuzu hadi Mbande, Mradi wa kusambaza umeme ardhini katika mji Serikali na Mradi wa Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Mjini Mkoani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira dodoma, huyu anayejenga ghorofa hapa barabara ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka kingo

    umelala? huyu anayejenga gorofa hapa barabar ya 8 anavunja mbao za zege Mawe yanaanguka na hajaweka zile kingo. vibarua wake wamekazana kutoa mawe kwa jeuri wala hajali watu.anasimama akiona gar tu kwa vile anaogopq kulala ndani.ila.maisha ya watu je? njoo haraka uone watu wanavopiga kelel...
  12. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Anzia Ulipo’yazinduliwa rasmi Dodoma

    Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya kitaifa ya “Anzia Ulipo” iliyozinduliwa jijini Dodoma Julai 16 mwaka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watu wameumia sana rohoni Mbowe kuonekana Dodoma ufunguzi wa Dira 2050 na kukosa mahakamani

    Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake. 1. Anagombea Urais Chaumma 2. Atapewa ubunge katika viti 10 vya Rais na kuwa Kiongozi wakambi ya upinzani 3. Chauma watapewa viti kuweza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeudhuria uzinduzi wa Dira kwasababu tuliweka maoni yetu lakini pia nilipewa mualiko

    Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma

    Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa. I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila kituo cha SGR mitandao isiwe na kwikwi. Nawakilisha
  18. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu mnao miliki mijengo Luxury Mansions Dodoma na Dar es salaam na mnampango wa kuziuza mimi ninatafuta kununua

    Habari wakuu, Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara. Napendelea kupata maeneo ya...
Back
Top Bottom