Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu...
Yaani the father, son and the holy spirit.
Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul..
Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials..
Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...