Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 3
  • IMG-20260827-WA0003.jpg
    IMG-20260827-WA0003.jpg
    82 KB · Views: 5
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
 
Wazanzibar, zama zenu za kutamba hizi, mnajishaua hatari, mmetukamata kwelikweli, sema yana mwisho haya, tutairudisha nchi yetu mikononi mwetu...kutesa kwa zamu..
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
 
Kama vigezo vyenyewe ndio hivi vya yeye ni nani na anatokea wapi, basi tuna safari ndefu sana.
wewe usiwe mbumbumbu. Zanzibar si Tanganyika, tanganyika inapotezwa hivyo na wewe hulioni hili. Most probably wewe ni mzanzibari....
 
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
Wabongo ni wanafiki sana, akiwemo huyu huyu mtoa mada!
 
Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!

With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa

View attachment 3659270
Mimi nikafikiri ni raià wa Angola au Nigeria.
Halafu dini yake wewe inakuhusu nini?
Baadhi ya waafrika mnakuwaga na mentality za kijuha juha kama mfalme juha.
 
Back
Top Bottom