dini

  1. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

    Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao.... Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address. The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wanashindwa kuwashauri viongozi wazuie nyimbo zenye matusi

    Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili. Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Katika kila Watanzania 10, tisa wamewahi kwenda kwa waganga hasa matatizo yakiwaelemea. Je, dini ni pambo?

    Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga wahalifu hasa wa kusafirisha magendo, wizi, utapeli hawa karibu wote wanaenda kwa waganga Wengi wakiumwa hospitali...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

    Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko. Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga Biashara ikiwa na wateja...
  6. JamiiForums Tanzania Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini. Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa. Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k. Watu wengi wapo...
  7. JamiiForums Tanzania Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

    Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwahiyo Rais Ruto amebadilisha dini?

    Embu Wakenya tujulishe
  9. JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo aache kuchanganya dini na siasa, anatukera

    Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
  10. JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  12. JamiiForums Tanzania Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

    Nimeona askari wakiwa na mitutu kwenye maeneo ya kanisa la KKKT hapa Mwanza, nimeshtuka sana kwamba watumishi wa umma wametoka na mfumo wa serikali ofisini na sasa wanataka waendeshe na makanisa. Pamoja na kuona dalili hizi na nikikumbuka uchaguzi uliofanyika Arusha kumchagua Malasusa; lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize afikishwe sober house haraka, mihadarati inapeleka kubaya

    Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana. Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua! Tafadhali ficha ujinga hata nusu.
  16. JamiiForums Tanzania Dini na Staha vs Ushenzi!

    swali: kwa nini wote wanaofanya ushenzi mitandaoni na kutukana na kudhalilisha watawala tena kwa matusi ya nguoni ni waislamu? I mean these people have no boundaries je, imetokea tu au kuna tatizo na waumini wa kiislamu wa tanzagiza kwamba hata uislamu hawauelewi? kusingizia kabila nakataa kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  18. JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kuishi bila dini ikiwa anafahamu mwanzo na kusudi la mwisho la kuwepo kwake

    Hii ni kwa Kiranga na mshamba_hachekwi , naomba maoni yenu 🤔 Dini lengo lake kuu ni kuwaunganisha watu kuwa katika udugu mmoja kwa ufunuo wa chanzo kimoja cha asili, lakini dini imekuwa tofauti imekuwa uwanja wa ubishani nani yupo sahihi? Lengo la jumla la dini halipo ila lipo lengo la...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee Akabidhi Mitungi 200 ya Gesi, Aungana Kushiriki Iftar na Waumini wa Dini ya Kiislam

    Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya kupikia (gesi) ili kurahisisha shughuli zao za kujikomboa kiuchumi. "Tunaelewa lengo kuu na Dira ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo kutimia.Muda mfupi baadae nchi ikapata msiba mkubwa wa meli ya MV Bukoba kuzama.Vita ikashika kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…