Ponjoro La Kizimkazi
Member
- Jul 1, 2025
- 28
- 42
Wakuu ukifatilia huu upuuzi tulioletewa na hawa watu wa nje ya afrika, utagundua kuna mambo mengi ni ya uongo uongo sana. Tunahitaji kukataa kuwa manipulated.
Nimekuwa nikifatilia uongo wa Biblia kwa muda mrefu sana. Ni kitabu ambacho kina controversy kupitiliza. Kuna versions sio chini ya 100. Kuna vitabu vimeondolewa kwa sababu vinaonekana sio neno la Mungu. Sasa unajiuliza huyu anayesema hili neno la Mungu hili sio yeye amejuaje? Kama sio agenda fulani fulani.
Codex Sinaiticus ambayo ni one of the oldest complete bible, iko tofauti na another oldest bible Codex Vaticanus na Codex Alexandrinus. Hivi vyote waliandika watu ambao walitumia nini sijui kudetermine kitabu kipi ni historical na kipi ni neno la Mungu.
Mwaka 1611, King James anakusanya watu wake wakaandika King James Version bible, ambayo nayo imepishana na zile za zamani. Baada ya hapo tena kuna tofauti kibao kutokana na translations. Sasa unajiuliza kweli Mungu huyu the all powerful kama aliweza kuiumba Dunia na all its complexities, alishindwa kusema na iwepo Biblia (kama ambavyo alivyosema iwepo Nuru) and save us from all this confusion. Lakini mwisho wa siku Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa mitazamo yao, na ndo maana controversy haziishi.
Huko mitandaoni kuna mijadala inaendelea kuhusiana na level ya literacy aliyokuwa nayo Yesu, na uwezekano mkubwa ni kuwa Mungu Mwana alikuwa hajui kusoma wala kuandika, but the Romans could😃. Kweli jamani Mungu hajui kusoma? #KataaDini
Sasa waislamu nao hatari, wapo wanaodai eti ilishushwa kama maono kwa waislamu mkuu akiwa mapangoni (sijui alikuwa anafanya nini mfanyabiashara mkubwa kama yule). Lakini kwanini kisishushwe tu kitabu moja kwa moja, that no one can manipulate? Lakini mwisho wa siku ni kitabu kilichoandikwa baadae sana kutoka katika kumbukumbu za wafuasi wa Mohamad (very shady ukizingatia mambo ya fasihi simulizi yalivyo)#KataaDini
Hizi dini mbili ndo chanzo kikubwa cha vita na ukosefu wa amani duniani. They are the source of the greatest divide.
Kama mwana-KKKT ninayeelekea kuwaachia kanisa lao, ndio maana kila nikienda kanisani najikuta nafocus zaidi kuangalia zile spika zilivyofungwa kiustadi kule darini kuliko kumsikiliza mchungaji maana rounds za sadaka haziishi. Misa ya masaa matatu lakini tunatumia karibia lisaa limoja kwa purukushani za sadaka. Kama siku ya pasaka ndio nilichoka. Kuna sadaka ya shukrani ya kawaida, sadaka ya shukrani ya Pasaka, sadaka ya jengo sijui, mwishowe i stopped counting. Muda wa mahubiri ni mchache kuliko shughuli zisizo na msingi.
#KataaDini