Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ruby, kupitia kipindi cha wasafi fm (the switch) tarehe 24 august, amefunguka kuhusu maisha magumu aliyopitia wakati akipambana kutafuta kutoboa kwenye tasnia ya muziki, ikiwemo kufikia hatua ya kulala kwenye kibaraza cha nyumba ya msanii mwenzake, Diamond...