diamond

  1. Uanzishaji wa kituo cha Radio

    Habari Wakuu, Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio. Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
  2. Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

    Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba. Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa alioununua 2016. Pia kawaonyesha moja ya mijengo yake uliopo mtaa namba moja mjini yani Sinza. Na...
  3. H

    Mchambuzi George Ambangile azawadiwa gari na Diamond Platnumz

    Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George...
  4. Z

    Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa sasa Harmonize ndio Star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

    Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie. Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
  5. U

    Hivi Kuna mziki wowote wa Diamond mkali kuliko Kwangwaru?

    Naulizia tu, Mana sioni kiukweli kabisa, na siongelei views hapa
  6. Hatimaye Diamond anunua Private Jet

    Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi. Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet. Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa. Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa...
  7. Diamond amjibu Majizo ”kiutu uzima”

    Baada ya Majizo kuandaa press conference kwenye media yake na kushambulia wasanii wanao trend mitandaoni na wanaopata views nyingi, akisema ukali wa msanii haupimwi kwa views au trending. Jabali la muziki wa Africa almaaluf Diamond Platnumz amempa elimu ya bure Majizo umuhimu wa views na...
  8. Diamond Platnumz hiki nini sasa?

    Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake. KWANI HII DUNIA NI YETU!?
  9. Sababu za Diamond Platnumz kutumia itel A37 hizi hapa

    Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
  10. Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

    Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
  11. Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  12. Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  13. Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

    Habari wadau, Kupitia Instagram yake ameandika haya:- “Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost. Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
  14. H

    Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  15. K

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
  16. Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

    Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU...
  17. Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  18. Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

    Wasalaam Wana jamvi. Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond. Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond kumlipia ada za watoto wake wawili wanao soma TUSIME SEC. Baba Levo anasema anatamani Mungu amchukue hata...
  19. Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  20. Maswali ya Kujiuliza Juu ya Kauli ya Mama Diamond juu ya Baba Diamond

    1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni kweli ALIIKATAA, maana yake ni kwamba, basi mama Diamond alitaka kumpa hiyo mimba. Kwanini alitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…