diamond

  1. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Rayvanny au Jux Atanipa Huduma Gani?, Tutadanganyana, Tunamhitaji Mtumishi Joel

    Diamond Platnumz Akosoa Mtazamo wa Jamii Kuhusu Huduma za Kiroho, Aeleza Faida ya Mchungaji Joel na Kutetewa kwa Joel Lwaga Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ametoa ushuhuda na maelezo ya kina jukwaani wakati wa ibada na hafla ya kiroho kuhusu maana halisi ya kutoa na...
  2. JamiiForums Tanzania NIKIWA MIONGONI MWA WATU WENYE ULEMAVU NACHUJUA FURSA KUMSHUKURU MTUMISHI JOEL LWAGA NA DIAMOND, MUNGU AWAZIDISHIE MLIPO TOA

    Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka dodoma, Arusha, nk kote huko tulipambana sana kupata mikopo ya asilimia tulizo tengewa na serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

    Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Diamond alikuwa ametumia nini mbona kama anapepesuka?

    Staa wa muziki, Diamond Platnumz, ameonekana akishuka kwenye gari la kifahari aina ya McLaren huku akiwa amezungukwa na walinzi wake binafsi (bodyguards) ambapo anaonekana akipata changamoto kidogo wakati akitoka ndani ya gari hilo lenye milango inayofunguka kuelekea juu, hadi kufikia hatua ya...
  5. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz Aweka Historia Zambia, Amkosha Mwanamuziki Ayra Starr wa Nigeria

    Mwanamuziki nguli wa muziki wa Afro-pop na Bongo Fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz (Chibu Dangote), ameweka historia nyingine kubwa kwenye sekta ya burudani nchini Zambia baada ya kutoa shoo ya kukata na shoka iliyowashangaza maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika jiji la Lusaka. Shoo...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Nikiwa nimemkumbatia mwanamke mwingine, alafu mtu akasema "unamdhalilisha Zuchu" huwa naumiq

    Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ameeleza kutoridhishwa na tabia ya mashabiki na jamii kuhusianisha utendaji wa kazi zake za sanaa na maisha yake ya mahusiano ya kimapenzi. Diamond ametoa kauli hiyo wakati akizungumzia changamoto anazokumbana nazo katika taaluma yake, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio la Diamond kutaka kuibiwa kwenye 40 ya mtoto wake laibua mapya! Uchawi watajwa, Ni nani?

    Video inayomuonyesha msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii S2kizzy kwenye sherehe ya arobaini ('40') ya mtoto wake imeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye kipande hicho cha video, unaonekana mkono wa mtu aliyesimama kwa nyuma ukimgusa na kushika vito vyake vya thamani...
  8. JamiiForums Tanzania Esma Platnumz Afichua Tabia ya Zuchu Akigombana na Diamond: "Anablock Familia Nzima Ya Wasafi"

    Dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Esma Khan (Esma Platnumz), amefunguka kuhusu tabia ya msanii Zuchu pale anapokuwa na tofauti au migogoro ya kimapenzi na kaka yake, Diamond Platnumz. Akizungumza kuhusu mahusiano ya wawili hao na jinsi yanavyoathiri watu wa karibu, Esma ameeleza kuwa Zuchu...
  9. JamiiForums Tanzania Account ya mtoto wa diamond platinumz; Sandrah Naseeb , yafunguliwa jana tu lakini kashakuzidi followers

    Katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii, watoto wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, wamekuwa wakivuta hisia za mashabiki wengi pindi tu wanapozaliwa. Awamu hii, mtoto wa msanii huyo aliyezaa na msanii mwenzake wa WCB Wasafi, Zuchu, aitwaye Sandrah Naseeb, ameingia kwenye vichwa vya habari...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu

    Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
  11. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Zuchu na Diamond Platinumz atangazwa kuwa balozi wa GSM

    Mtoto wa wasanii nguli wa muziki nchini, Diamond Platnumz na Zuchu, ametangazwa rasmi kuwa balozi mpya wa kampuni ya GSM. Chapa ya GSM Beverages, imetangaza kumpa ubalozi mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz, Sandrah katika sherehe ya mtoto huyo.
  13. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz na Zuchu waonyesha sura ya binti yao Sandrah (Sanura)

    Wasanii Diamond Platnumz na Zuchu, wamezidi kuvuta hisia za mashabiki wao kufuatia hatua yao ya hivi karibuni ya kuchapisha picha mpya za mtoto wao wa kike, Sandrah Nasibu Issac. Tofauti na awali ambapo walikuwa wakitumia emoji kuficha kabisa sura yake kwenye mitandao ya kijamii, picha za hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize; Sitaki kusikia eti wasafi na Diamond ndo wamenitoa kimuziki

    Akiongea na Obinna Tv nchini Kenya amesema huwa anachukia sana anapo ambiwa yeye Ametambulishwa Kimziki na wasafi pamoja Diamond. "Sitaki Kusikia jina Diamond Wala wasafi kwenye mahojiano yangu, Mimi mwenyewe Kwa Sasa nina Lebo yangu ya konde Gang, niulize kuhusu hilo tu na Mimi mwenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Ibra; Harmonize aliniblock kisa nilimpost diamond platinumz

    Kupitia kipindi Cha Transfoma pale EFM, Ibraah ambaye alitambulishwa kwenye mziki na Harmonize amesema anasikitishwa na kitendo Cha Harmonize kumblock kisa tu alimpost Diamond Platinumz. "naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"
  17. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Sitamani Tiffa aje kuishi Tanzania, wataniharibia mwanangu

    Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao? Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hizi . Messi vs Diamond

    Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake . Na kuna siku pia niliota ndoto kuwa diamond platnumz alikuja geto kwangu kunikopa 5000. Je hizi ndoto tafsiri yake ni nini au ni...
  19. JamiiForums Tanzania Maimartha Afichua yaliyojiri kati ya Diamond Platnumz na Ashurey Rwanda, Zari alipiga simu

    Mtangazaji na mwanahabari wa burudani, Maimatha, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kutoa madai na maelezo kuhusiana na uhusiano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, na mnenguaji wake, Ashurey Rwanda. Katika maelezo hayo yaliyowekwa kwenye chaneli ya 2GETHER online, Maimatha amedai kuwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Diamond alioneshwa picha zangu aksema ananijua, ananitaka

    Mrembo Stella Mbunge ambaye ni video vixen wa video ya wimbo wa Salama wa Diamond na Barnaba ,amesema kwamba video ya salama ,Diamond Platnumz alimlipa zaidi ya milioni kumi licha ya kushindwana bei kwa mara ya kwanza. Stella Mbunge amesema kuwa kwa mara ya kwanza kiasi alichotajiwa atalipwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…