diamond platinumz

Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, and often referred to as "Simba" (meaning Lion in Swahili) or "The King of Bongo-Flava" is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.Diamond Platnumz is among the most popular artists in East and Central Africa. He has had several hit songs and has been awarded numerous awards. He is the first Africa-based artist to reach a combined total of 900 million YouTube views. In 2013, according to Tanzania's mobile phone companies, he was the best selling artist of ringtones. Diamond is also one of the top earners in the African Great Lakes region's music industry.Diamond is jointly managed by Sallam Ahmed Sharaff (Sallam SK) a.k.a. Don Mendez, Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale) and Saidi Hassan Mlinge (Mkubwa Fella) from the Tanzanian music.In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Watanzania 'tulioshadadia' Mitandaoni 'Kumfitinisha' Msanii Diamond Platinumz na Tuzo za BET ambayo ameikosa tuliifikiria Tanzania zaidi?

    1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa? 2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
  2. Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  3. B

    Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  4. Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Mbunge wa jimbo la Morogoro kusini mashariki ambaye pia ni meneja wa msanii nguli hapa nchini Diamond Platnumuz, amewananga na kuwaita wanaharakati uchwara walioshindwa siasa za kuiondoa CCM madarakani na sasa wamehamia kushindana na mtu mmoja ambaye ni mwanamuziki Diamond Platnumz! Babu Tale...
  5. Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

    Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others This is a call to BET Awards hosted and produced by Black Entertainment Television (BET) to disqualify Diamond Platnumz Diamond Platnumz is a world-renowned...
  6. Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

    Wanajamvi Habari. Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond. Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond...
  7. Siungi mkono watu Kumchukia Diamond kisa aliipigia kampeni CCM

    Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi. Hivi...
  8. Msanii Diamond Plutnumz akutana na Katibu wa Uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    "Wakati Mzuri leo katika ofisi Ndogo za Chama na katibu wa NEC, Itika na Uenezi Mpya wa CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka. Nimetumia wakati huo kumngata sikio juu ya matarajio yetu kwa chama na serikali katika sekta ya habari, sanaa na Burudani, ameniahakikishia changamoto zote zitafanyiwa kazi na...
  9. U

    Diamond Platinumz amiliki gari ya thamani kubwa

    Msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote katika nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari linatumiwa na viongoz wa juu nchini km waziri mkuu na baadhi ya mawaziri ! Inakadiriwa kuwa na dhamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…