Je, WasafiBet ni ya Diamond Platinumz? Ukweli huu Hapa

KimIlSung

Member
Apr 21, 2020
15
24
Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet,

Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya Mwai Kibaki) Hapa Ndipo Tunapojua Kuwa Kumiliki na Kuendesha Michezo hii Inahitaji Pesa Nyingi Sana .

Anayehusishwa SanaSana na OdiBets ni Dedan Mungai Ambaye Ni Manager na Msemaji Mkuu Wa Kampuni Inayomiliki WasafiBet na OdiBets Yenye Makao MakuuNchini Kenya Inayojulikana Kwa Jina La Kareco Holdings Limited.

Ni kampuni ambayo ingeingia kichwa kichwa Hapa Tanzania ingepata wakati mgumu sana kufahamika na kupata wateja, Kutokana na kuwepo Kwa Makampuni Mengi Ya Kubeti kwa hiyo wameamua kutumia jina kubwa la Wasafi kwa makubaliano Maalumu Kwhiyo Kwa Tanzania Yeye Ndio Mmiliki na Msimamizi
 
Ni kampuni ambayo ingeingia kichwa kichwa Hapa Tanzania ingepata wakati mgumu sana kufahamika na kupata wateja, Kutokana na kuwepo Kwa Makampuni Mengi Ya Kubeti kwa hiyo wameamua kutumia jina kubwa la Wasafi kwa makubaliano Maalumu

KWA MAELEZO ZAIDI tAZAMA VIDEO HII INAYOFUATA

Hata kampuni kubwa huko kwa wenzetu wanaoitwa wamiliki hawazimiliki peke yao tena wanakuwa na hisa chini ya 40% kwahiyo hilo halifuti umiliki wa diamond
 
Wasafi bet na diamond haina utofauti na mtu mwingine aliyewekeza kwenye betting, mfano shops za meridian, throne bet.

Au wadada wa premier bet
 
Stori za mitaani kwetu.
Wasafibet ni freemason kigezo wanakuambia eti kuweka pesa kwa voda ni 123333 wakati tigo ni 666123 hapo mbongo humwambii kitu juu ya hizo namba zenye 666

Bongo land
 
Freemasonry wanasimangwa sana bongo
 
Wasafi bet, ni Kampuni Iliyoundwa kwa makubaliano(Partnership)baina ya kampuni ya kubeti ya nchini Kenya inayoitwa Odibet,

Mliliki Wa Odibets ni Jimmy Kibaki (Mtoto Wa Raisi Wa Zamani Wa Kenya Mwai Kibaki) Hapa Ndipo Tunapojua Kuwa Kumiliki na Kuendesha Michezo hii Inahitaji Pesa Nyingi Sana .

Anayehusishwa SanaSana na OdiBets ni Dedan Mungai Ambaye Ni Manager na Msemaji Mkuu Wa Kampuni Inayomiliki WasafiBet na OdiBets Yenye Makao MakuuNchini Kenya Inayojulikana Kwa Jina La Kareco Holdings Limited.

Ni kampuni ambayo ingeingia kichwa kichwa Hapa Tanzania ingepata wakati mgumu sana kufahamika na kupata wateja, Kutokana na kuwepo Kwa Makampuni Mengi Ya Kubeti kwa hiyo wameamua kutumia jina kubwa la Wasafi kwa makubaliano Maalumu Kwhiyo Kwa Tanzania Yeye Ndio Mmiliki na Msimamizi

KWA MAELEZO ZAIDI tAZAMA VIDEO HII INAYOFUATA

All in all the game is stil in win win situations!!
 
Back
Top Bottom