diamond platinumz

Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, and often referred to as "Simba" (meaning Lion in Swahili) or "The King of Bongo-Flava" is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.Diamond Platnumz is among the most popular artists in East and Central Africa. He has had several hit songs and has been awarded numerous awards. He is the first Africa-based artist to reach a combined total of 900 million YouTube views. In 2013, according to Tanzania's mobile phone companies, he was the best selling artist of ringtones. Diamond is also one of the top earners in the African Great Lakes region's music industry.Diamond is jointly managed by Sallam Ahmed Sharaff (Sallam SK) a.k.a. Don Mendez, Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale) and Saidi Hassan Mlinge (Mkubwa Fella) from the Tanzanian music.In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tyla Awabwaga Diamond, Asake na Mastaa Wengine, Ashinda Tuzo ya 'Best African Act' Katika MTV EMA 2024

    Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu kama Ayra Starr, Asake, Diamond Platnumz, DBN Gogo, pamoja na TitoM & Yuppe. Tyla alipata uteuzi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chidi Benz: Sikumuomba Diamond arekodi chorus, amesababisha wimbo wangu kupotea

    Mmemsikia King Kong lakini? Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio kwa S2kizzy. Soma, Pia: Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako Chid...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

    Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao. Soma, Pia: Anaefahamu...
  5. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

    Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada. 1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Anaefahamu Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa mwambieni Diamond Platnumz anamtafuta ampe sadaka yake

    Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya starehe. Diamond Platnumz ameona simulizi yake mtandaon, imemgusa na ameamua kumshika mkono. Hivyo...
  7. Labani og

    JamiiForums Tanzania List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

    Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki. 1. Yope Remix : +236M 2. Waah : +163M 3. Inama : +141M 4. Jeje : +102M 5. Nana : +100M 6. African Beauty : +86M 7. Marry You : +71M 8...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

    Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
  9. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Nyinyi maskini wenzangu acheni kumsakama Diamond

    Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au aliunganishwa kwenye chama cha siri cha giza, nyinyi masikin wenzangu inawauma nini Nimejua bongo kweli kuna...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakazi awatolea uvivu Wasanii adai hawajitambui, wanataka kuwa kama Diamond

    Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fred Vunjabei amchana Mwijaku, ampa onyo la mwisho

    Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani. Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga aikana Wasafi Media

    Mkurugenzi wa Clouds media group, Joseph Kusaga amethibitisha kutokuwa na Ubia wowote katika Wasafi media, ameeleza hayo katika mahojiano yake na Clouds, Kusaga ameeleza kuwa hana shea yoyete Wasafi media bali yeye ni kama baba na mshauri kwa Mkurugenzi wa Wasafi media ambae ni Nasib Abdul...
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Diamond Platnumz Mpaka Vitaongea mwaka huu

    Buti nyeusi za BALENCIAGA anazovaa Mondi zinaenda kwa jina la "ALASKA PUFFER BOOT (men)" amekuwa akizunguk navyo kika kona basi hata Abadilishe rangi tujue Anavyo Vingi basi, yan mwisho wa siku tunaoneka Taifa Tunarudia Viatu.. bei yake ni Dola za Kimarekani 1,325 wmbayo ni TZS Milioni 3.54...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini kila Mtu na Kipaji chake Azik K katika huo Wimbo wa Diamond wa Kutambulisha Jezi Mpya ndiyo kaharibu kwani hajui kabisa Kucheza Muziki

    Hongera sana kwa aliyekuwa Jirani yangu Misufini Morogoro Mdogo wangu Dickson Job na Dube kwa kujua Kucheza.
  16. Genuine mello

    JamiiForums Tanzania What is the meaning of this dream?

    To any spiritual teacher/any person, please can you tell what's the meaning of this dream. I received this dream from Dm in my Twitter (X) account please help a brother "Hello brother G, i hope u doin gudie, can you pls find a person to give the meaning of this dream? I dreamt that i have a...
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

    Taji Liundi Diamond Platnumz Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo. Ameyasema hayo akisisitiza support kwa diamond na kuappreciate juhudi anazofanya. Watanzania wamekusikia bro...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond na Chris Brown waisimaisha dunia na Komasava

    Story kubwa duniani leo ni Msanii namba moja duniani na msanii namba moja Africa. Chris Brown na Diamond Platinumz. Chris Brown ameonesha kupagawa na wimbo namba moja kwa sasa Africa uitwao Komasava ulioimbwa na Diamond Platinumz kutoka tandale. Chris Brown amecheza wimbo huo huku akionesha...
  19. bahati93

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  20. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
Back
Top Bottom