dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa cha Utafiti wa Tuskegee juu ya ugonjwa wa Kaswende ulivyokua wa kikatili kuangamiza Wanaume Weusi Marekani

    Katika historia ya matukio ya kustaajabisha yaliyofanywa na taasisi za serikali kwa jina la “sayansi”, hakuna tukio lililojaa huzuni, udhalilishaji, na ukiukwaji wa maadili ya kibinadamu kama Utafiti wa Tuskegee kuhusu ugonjwa wa Kaswende (The Tuskegee Syphilis Study) uliofanyika kuanzia mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  4. JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Simba yatozwa milion 3 kwa imani za kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Yanga ilipofungwa 2-0

    Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
  6. JamiiForums Tanzania Gregorian chants; Kiboko dhidi ya mashetani na sonona (depression)

    Wakati mmoja nilikuwa na-scroll reels za Facebook ikatokea clip moja ikionesha watawa wa kikatoliki wakiimba Kwa ala za kuvutia sana (angelic voices). Hiyo clip ilikuwa ikimuonesha msanii wa kimarekani Kai Cenat akishangaa jinsi zile sauti zilivyokuwa zinavutia hata Mimi zikanishangaza sana...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa EU na Mexco dhidi ya Ushuru 30% wa Trump

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja wa Ulaya umejikita katika mazungumzo, utulivu na ushirikiano mzuri wa pande mbili na Marekani. Ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, kuandika barua akionya kuhusu kuongeza ushuru zaidi kwa bidhaa kutoka EU...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu Nisaidie Niweze Kunyamaza, Nijiepushe na Dharau na Kebehi dhidi ya Dini nyingine, Niepuke Kujimwambafai Mbele ya Dini na Madhabahu ya Wengine

    Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
  9. JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la kijasusi kauli za kagame:"tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia".

    Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara? Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake Msumbiji kulinda amani na ushikiano zaidi ya askari 1000, akitumia mpaka wa rwanda kupitisha balozi...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha. Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha. Kwa mantiki hii na muktadha huu...
  11. JamiiForums Tanzania Intelligent businessman na Half american kupanda ulingoni kuzichapa 😎. Pambano la monetary doctor dhidi ya poor brain laahirishwa kisa UE.

    Ni msimu wa ndondi!! Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani. Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini TSH inashuka dhidi ya Dollar/KSH, Exchange rate, Deni la Taifa?

    Wachumi mnakaribishwa kwa michango......... Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine, Exchange rate ya pesa nani uamuapia Deni la Taifa. Moja kwa moja kwenye Point. Tuanze kwa kujua mchakato...
  13. JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama Israel yakataa kuahirisha kesi dhidi ya Netanyahu

    Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali. Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
  15. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya: Nchi 27 wanachama wa EU zakubali kurefusha vikwazo dhidi ya Urusi

    Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
  16. JamiiForums Tanzania Trump aitaka Israel kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran. Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
  17. JamiiForums Tanzania Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

    Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana Hii inakupa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia Irani mchezo anaocheza dhidi ya marekeni ni hatari sana kwa Irani?

    Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili: Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…