Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
Awali ya yote natumai mu buheri wa afya..
Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!.
Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
Maana wenye makanisa hayo juu hawajaonekana kukerwa na kinacho fanywa, nadhani inabidi mjitafakari dini yenu inaamini katika nini?au mnathamini fedha na mali na sadaka zao tuu kuliko utu wao?
Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia juris non excusat. Ignorance of law excuses no one ie legis reminen excusat.
Wananchi ndiyo...
Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.
Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.
Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
Naomba msaada kwa anayeweza kupenyeza ujumbe huu kwa Mh.Mbunge Saashisha Mafue wa Jimbo la Hai na Serikali sikivu ya Ccm.
Hivi karibuni Serikali ilianza zoezi la kusambaza nguzo za umeme wa Rea kwenye vitongoji kadhaa vya wilaya ya Hai.
Kwenye kitongoji Cha MLIMAFARU kilichopo kijiji Cha...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo ambayo ni Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ukombozi na ushindi dhidi ya dhambi zozote ikiwemo dhambi ya dhulma ya uchaguzi, Je tuitumie Pasaka hii kuombea uchaguzi wetu uwe uchaguzi huru kweli na wa haki kweli, au...
CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake.
Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?.
Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA
"Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
3Kuelewa na Kujilinda Dhidi ya Mashambulizi ya Man-in-the-Middle (MITM)
➤Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, usalama wa mawasiliano mtandaoni ni muhimu sana. Hata hivyo, kuna vitisho vingi vinavyoweza kuhatarisha faragha na usalama wa data zetu. Mojawapo ya vitisho hivi ni shambulio la...
Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video.
pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.