Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha.
Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha.
Kwa mantiki hii na muktadha huu...
Ni msimu wa ndondi!!
Members wa JF Intelligent businessman na Half american (nusu albino) hatimaye wamekubaliana kutwanganq ulingono mara baada ya tambo nyingi jukwaani.
Bwana Intelligent businessman kinachompa kiburi ni movies za kijapani na kikorea ambazo huziangalia mara kwa mara. Yeye...
Wachumi mnakaribishwa kwa michango.........
Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili
Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine, Exchange rate ya pesa nani uamuapia Deni la Taifa.
Moja kwa moja kwenye Point.
Tuanze kwa kujua mchakato...
Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni.
Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe mbali.
Wakili wa Netanyahu alimuomba jaji katika mahakama hiyo kuahirisha kesi hiyo kwa wiki...
Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran.
Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Kwa tuliojaliwa kuwa na jicho la 3 la kutazama tunaona hatari kubwa katika nchi ya irani na tunaona anacheza mchezo hatari unaohatarisha uwepo wake duniani. Naona Irani ikilia kilio Cha kwikwi kali na maumivu yasiyosimulika. Ndio maana najiuliza swali hili:
Nani wa kumwambia Irani kuwa mchezo...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi.
Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda.
Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa.
Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65%
Mamlaka ya...
Habarini,
Hapo ndiyo ujinga wa Wafa dini ulipo sasa yaani yesu aje aweze kuwaokoa wao ashindwe kuwaokoa waisrael na kichapo kutoka kwa Wairan
Mungu wape nguvu zaidi Wairan ili wawafungue macho wafia dini wa kiafrika walio mazezeta
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa huendelea kukoment upumbavu na kuchekelea🇹🇿
Kuna majitu yanafurahia sana hizi kejeli ,kwani wasukuma...
Mpo salama!
Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali hutumika.
Mwanadamu ni Mnyama aliyechangamka. Mifumo yake ya utawala haiko mbali na wanyama wa...
Hapo vip!
Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati.
Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania.
Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ?
Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
Rais Donald Trump amesema Marekani haihusiki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran.
"Marekani haikuwa na uhusiano wowote na shambulio dhidi ya Iran, usiku wa leo," Trump amesema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Truth Social platform.
Iran imeionya Marekani na washirika wake...
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati.
Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran.
Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran".
Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.