dhati

Dhatki (धाटकी; ڍاٽڪي), also known as Dhatti (धत्ती; ڍاٽي) or Thari (थारी; ٿَري), is one of the Rajasthani languages of the Indo-Aryan branch of the Indo-European language family. It is most closely related to Marwari.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Je, Marekani ina nia ya dhati kujenga Miundombinu barani Afrika ama ipo kwenye ushindani tu na China?

    Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
  2. Soka la Tanzania bila utashi wa dhati wa Wanasiasa wetu kamwe halitafika popote

    Wiki jana nilisema humu kwamba wanasiasa wa Tanzania pasipo na kuwiwa utashi wa kulisimamia soka letu hakika hatutofika popote! Hivi zaidi ya majivuno na nyodo uongozi wa Karia pale TFF unacho kipi cha ziada ulichokifanya sana sana ni kufungia wanafamilia wa mpira wa miguu? Football ni zaidi...
  3. S

    Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  4. Mwanaume Masikini anaamini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati!

    Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi la dhati . Mwanaume Masikini akiachwa utasikia "Sawa umeniachia tu kisa Sina Hela, nitapata tuuu n...
  5. Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  6. P

    Serengeti Girls mmetuheshimisha sana Watanzania, pokeeni pongezi za dhati kabisa

    Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa magoli 5-1 tena ugenini dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa ya hadhi ya Cameroon, Mmefuta aibu ya...
  7. S

    Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  8. Habari wana jukwaa nitangulize shukurani zangu za dhati

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi kijana wa kitanzania kupitia ukurasa huu nilipata mchumba aitwae _ _ jina naliweka kapuni maana ni maalum kwangu tu, hakika mwanzo sikuamini kama kupitia jukwaa hili unaweza kupta mchumba au marafiki Rakini leo naomba nithibitishe kuwa jukwaa hili...
  9. Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...
  10. Billboard ya umpendaye! Je ni mapenzi ya dhati? (critical thinking)

    Happy Valentine nyote! Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango...
  11. D

    Pongezi na Shukrani za dhati kwa Wana Jamiiforums Hawa kwa kazi iliyotukuka

    Nyendo The Sheriff Replica Suley2019 Erythrocyte Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa wamekuwa mstari wa mbele kuujulisha UMMA kinachoendelea. Watanzania wengi na viongozi akiwemo Mheshimiwa...
  12. "Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

    Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA...... Mwaka anayaweza kwelikweli
  13. L

    Mafunzo ya Lugha ya Kichina katika Afrika yapokelewa kwa dhati kutokana na umuhimu wake duniani

    Na Pili Mwinyi Kwa muda mrefu sasa China imekuwa ikifungua milango yake na kukaribisha watu kutoka pande mbalimbali duniani kuja China ili kujionea kwa macho yao nchi kubwa iliyopata maendelo ya kasi kwa muda mfupi tu, na pia kuwafanya wachina kwenda nje ili kujionea na kujifunza mengi zaidi...
  14. L

    Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  15. P

    Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

    Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
  16. Kaka niache tu🙌 nikifa, nikiishi Mungu ndio anaejua😭

    Katika maisha yangu ya elimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne sikuwahi kushindwa darasani, mimi kwangu kupitwa katika mtihani nilichukulia ni zaidi ya tusi, baba yangu alinisifia akisema kwamba nina akili kama alizokua nazo yeye ijapokua hakua mtu wa kunipa mahitaji muhimu ambayo...
  17. M

    CCM Gwajima ni Manara wa Kisiasa aliyeko Kwenu, ila ana Mapenzi ya dhati huko UPINZANI endeleeni Kumlea ili aje Kuwachafua na Kuwavuruga zaidi

    Rais Samia na Mwenyekiti Taifa CCM endelea tu Kumlea Askofu Gwajima ( Manara wa Kisiasa ) ili awachafue na awavurugeni vizuri. Na nikusaidie tu Rais Samia kuwa Askofu Gwajima Wala hakupendi na hakukubali na hizo Sifa anazokupa ni za Kinafiki na anakudharau mno. Kama kuna Sumu kubwa, mbaya na...
  18. Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  19. Kuna mapenzi ya dhati dunia ya sasa?

    MUNGU ni mwema! Jumatatu nyingine tunakutana . Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia ya sasa? Najua jibu la swali hilo kila mtu analo kutokana na mapito yake. Wengi wamejikuta kwenye maumivu makali ya mapenzi kutokana na jinsi watu wanavyoishi na kuyachukulia...
  20. Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

    Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…