dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania 5-1 uwanja wa nyumbani ni fedheha au dharau

    Kilichotokea Taifa leo, iwe ni funzo kwa vilabu vyetu vyote nchini, kwamaba mafanikio ya timu ya mpira wa miguu ni uwekezaji sahihi kwa wachezaji na miundombinu rafiki kwa wachezaji, na umahiri wa mipango, mafunzo, uhusianao mwema na mbinu za mwalimu wa soka kwa timu husika. Viongozi wa vilabu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huku ni kudhalilisha elimu ya degree. Yaani kuwa mhudumu wa basi napo mpaka degree. Wamiliki wa mabasi acheni dharau

  3. N

    JamiiForums Tanzania Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge punguza dharau Brother

    Si mara moja wala mara 2 unapokuwa ukiripoti matukio mbalimbali umekuwa ukitumia lugha za kejeli especially kwa watu wenye mawazo tofauti na yako. Hata kama unatekeleza kazi maalumu hupaswi kudharau watu. Haya, Endelea na lile jukumu letu.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hii Dharau kwa Vitabu vya Dini (Biblia/Msahafu) na Katiba, haitatufikisha mbali

    Habari wana jamvi wa JF, Sisi kama binadamu, tumeumbwa kufuata miongozo. Miongozo hiyo imo katika vitabu vitakatifu kama vile Biblia na Msahafu kwa upande wa dini na Katiba kwa upande wa kisiasa. Bila miongozo hii, tusingekuwa hapa tulipo na dunia pasingekuwa mahali salama pa kuishi. Hivyo...
  9. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  10. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

    Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi. Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale. Kwa leo ni hayo tu.
  11. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Utamgunduaje mtu anayekudharau?

    Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha. 1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa...
  12. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

    Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-come na emotions huko kwao, sijajua ni super V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi.
  13. co fm

    JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto ni dharau, nimfanyaje au nijilinde vipi?

    Habari wanazengo, mimi nina duku duku kidogo kuhusu watu wanopenda kutumia mkono wa kushoto ili hali siyo watu wa mikono ya kushoto. Kuna mwana mmoja mtaani hapa ninapokaa yeye mara nyingi ukikutanana nae mkisakimiana nae yeye huwa analeta mkono wa kushoto na siyo mara moja au mbili like all...
  14. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni Pesa/ hela muepukane na hizi dharau

  15. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

    Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na...
  17. Kyakashombo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nafasi fulani ofisini acheni dharau na kujisikia

    Sikupata mshangao sana yule askari wa Uganda "aliemmiminia" njugu wale officers pale ofisini wala hakumpiga risasi mtu mwingine kwa sababu target yake ni hao officer wenye dharau na kujibu watu hovyo hovyo. Nyie mliopata nafasi/kubahatika kukaa ofisini wahudumieni watu kwa upendo na staha...
  19. chaz beezz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

    ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee. Uwa nawaona wengi tu hata wake zao wakiwapigia simu yaani jamaa anavyoongea na mke wake kwenye simu...
  20. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Zitunze Dharau zao kuna siku watazihitaji so itakusaidia

    Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani. [ ] Ushajenga nyumba yanini ukae nje? Ili watu wakuone kuwa nyumba yako😁 [ ] Umenunua gari ila ukaona ufungue...
Back
Top Bottom