dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Member wa JF Nanamucho aache dharau kama vipi anikutanishe na hayo madanga yake ajue uwezo wetu kipesa mfano mimi baharia Mkataa NDOA maarufu.

    Hello family, 👇👇👇 Natuma salamu kwa huyu member mwenye picha yenye nyashi a.k.a Nanamucho amefanye dharau eti sisi wadau humu hatuna pesa, sasa natoa ofa kwake na mabasha wake nikutane nao sehemu bill ntalipa mimi, dharau za kijinga afanye huko kijijini kwao. Mfikishieni taarifa weekend hii ya...
  3. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Mwanamuziki Bora Hiphop ni dharau kwa wana Hip Hop

    Wasanii waliochaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hiphop wa Mwaka kwa upande wa Wasanii wa Kiume katika Tuzo za Muziki za Tanzania TMA2022 ni Kala Jeremiah Billnass Countrywizzy Fid Q Joh Makin Hakika wana Hip Hop tumedhalilishwa sana, tunazidi kudhalilishwa. Sikubaliani na uwepo wa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumfanyia dharau gani boss au mwajiri wako?

    Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
  7. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini wameonesha dharau kwa Rais Samia

    Wakuu habari za humu? Ni matumaini yangu wote hamjambo. Leo nlikuwa napitia taarifa mbalimbali kwenye kiswaswadu changu nikakutana na taarifa ya mama kwenda kwa Madiba hii leo. Kwakweli mapokezi yale sijayapenda,yaani haiwezeknai Rais wa nchi anapkelewa na balozi wa nchi yetu hukohuko tena bila...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache migongano, kusengenyana, uvivu na uzembe ili tufanye kazi za watu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023 RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA Yapo...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa EFM Radio Maulid Kitenge acha Dharau na Sanifu zako kwa wana EFM Jogging Club wako

    "Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia pamoja kisha nitakwea tena Pipa na Kurejea zangu Dar es Salaam" alisema Mtangazaji Maulid Kitenge leo...
  11. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu. Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TUCTA pamoja na nyie kuwa chawa wa CCM, kuwanyamazisha wafanyakazi ni dharau

    Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi. Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

    Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki. Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kutumbuliwa kwa Mwigulu Nchemba, Rais hana lawama. Dharau kwa wawakilishi wa wananchi ni dharau kwa wananchi

    Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi. Kuwadharau wananchi means ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kiburi, Dharau na Ujeuri wa Yanga SC ipo Siku utawagharimu, watajuta na kukosa wa kuwatetea

    Endeleeni kudhani mnavyowafanyia Wazawa/ Waswahili wenzenu na wananyamaza basi itakuwa hivyo hivyo pia kwa Wazungu hata kama Kampuni zao zilizoko nchini Tanzania zinaongozwa/ zinasimamiwa na Waswahili na wana Yanga SC Wenzenu.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Madiwani wamkataa Meneja RUWASA kwa madai ya kuwa na dharau

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua limeazimia kutofanya kazi na Mapambano Mashini ambaye ni kaimu meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini na Vijijini (Ruwasa) wilayani Kaliua kwa madai ya kulidharau baraza hilo. Uamuzi huo umesomwa kwa niaba yao na...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dharau kubwa, waziri wa CCM anawaza simu za mkopo wakata taifa lina shida ya maji na umeme kila kona

    CcM imejaa tabu na matatizo 👇
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ushawahi fanyiwa jeuri au dharau na mpenzi anaedhani umedata na umahiri wake ndani ya 6x6?

    Salale Wanawake Mungu anawaona, acheni visa chezeni game fair, sio poa unatumia mchezo wa kujiviringisha sana na mpapaso kama wote mwanzo wa mechi hadi mwisho wa mechi mgongo massage mwanzo mwisho, mtu unagugumia maraha na mautamu hadi mwisho. Khaa sio poa. Baada ya hapo mnatumia hio fimbo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
Back
Top Bottom