dhana

Dhana is a census town in Sagar district in the state of Madhya Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

    Naomba kujua kiswahili Cha Cost Benefit Analysis Cost effectiveness Value for Money Cost effeiciency
  2. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anapopingana na Dhana ya Ulinzi Shirikishi

    Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa: "ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika." Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
  3. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Wanaodai katiba mpya wasikilizwe, wasiitwe magaidi

    Wasalaam. Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi ya ugaidi wakati tunaendelea kutafakari maana inaoyesha hata police wetu hawajui ugaidi ni nini...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba mpya ya wananchi Tanzania: Tuondoe dhana batili na potofu kuwa madai haya yanalenga kuiondoa CCM madarakani

    CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia. Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake na Hatma ya watoto

    Ondoka, nenda kwenu, mwanamke gani wewe, beba mizigo yako na watoto wako, sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini. Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa imevunjika, kidudu mtu...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Msingi wa hii dhana kuwa wanasiasa wasilipe kodi, wasishitakiwe inatoka wapi?

    Huwaga nashindwa kuelewa. Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa. Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe. Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
  8. endesha

    JamiiForums Tanzania Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

    Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza. Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli yake ya kushauri Serikali kutoa chanjo kwa Lazima badala ya msimamo wa Serikali kwamba chanjo Ni hiari...
  9. 2019

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kumzibua mtoto masikio ni kweli au maneno tu?

    Nawasalimuni kwa jina la JMT? Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio? Kama hawajakutana je kuna madhara kwa mtoto? Kama ni kweli ni baada ya siku ngapi baada ya kujifungua? Kwa singomaza...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu Kuhusu Dhana ya kiafrika ya muda na maendeleo

    Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika. Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mikutano ya hadhara kufanyika majimboni vipi wapinzani wasiokuwa na madiwani na wabunge

    Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao. Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
  12. Abrianna

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kumuinua Mtoto wa Kike ni bomu kwa Vizazi vijavyo

    Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani. Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
  13. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga. Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli? Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
  14. Miyeyusho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dhana ya kipato kuimarisha mahusiano au ndoa

    Habari za wakati huu wana JF? Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku. Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
Back
Top Bottom