dhamana

Dhamana is a village in Hansi-I mandal of the Hisar district, in the Indian state of Haryana. It is in between the towns of Hisar and Tosham at about 20 kilometres (12 mi) on the Main District Road 108 (MDR 108). Dhamana is fifth village on Hisar-Tosam road, first is Dabra, Second is Mirkan, Third is Bhojraj, Four is Gunjar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zoa havitaweza vikiwa vimekatwa makali au kufungwa kwamba

    Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,. Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na...
  2. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana taasisi yenye dhamana ya kusimamia Lugha ya Taifa (Kiswahili) kukosa jenereta pale unapokatika umeme

    Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana. Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Tunduru: Wafanyabiashara 28 washikwa na kuachiwa kwa dhamana kwa kuuza bei ya juu sukari

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo. Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ndugu yetu aliyekamatwa kwa kuzuia Watoto kwenda shule mbona hapewi dhamana na Polisi?

    Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu wasisome ili wajipange kumpokea Yesu, Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya ( 33) Mwinjilisti wa Kanisa la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X, habari ikimuhusu Pauline Gekul. Kaandika hivi: "Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul kadhaminiwa polisi Babati, karudi nyumbani kwake kupumzika baada ya kuhojiwa, lakini anasema anahofia usalama wake.. kwani Gekul...
  8. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

    Kama uzi unavyosema hapo juu, Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira. Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira iache kutesa wadogo zetu wanaotafuta ajira

    Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu. Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Watu wasio waaminifu, walioaminiwa wanajificha kwenye dhamana walizopewa kuumiza watanzania wenzao

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO "Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Askari wanaodaiwa kuiba Tsh. Milioni 90 wakosa dhamana

    Askari watatu wa Jeshi la Polisi nchini akiwemo mwanamke, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka moja la unyang'anyi wa kutumia silaha na kujipatia Sh90 milioni, mali ya Grace Matage. Askari hao ni mwenye namba F 7149 D/ Coplo Ramadhani(42) maarufu kama...
  13. JamiiForums Tanzania IMF: Serikali za Afrika ziache kuchukua Mikopo kwa dhamana ya Rasilimali za Nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #KristalinaGeorgieva ameunga mkono wito wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaozitaka nchi za Afrika kuacha utaratibu wa kufungamanisha Mali Asili za Nchi kipindi zinapoingia mikataba ya Mikopo. Kwa upande wake Rais wa #AfDB, Dkt...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi mlipewa dhamana wajibikeni

    Habari wana JF Moja ya vitu vinaturudisha nyuma ni uwajibikaji wa viongozi katika nafasi zao , waziri mkuu ametembelea miradi ya maendeleo kigoma alivyojionea kama si sheria unatamani umpige mtu lakini hapana huwezi kufanya hivyo. Kwa mujibu wa kauli iliyosikika ya PM ni kuwa halimashauri...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  17. JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

    Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa." Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Mabadiliko ya TabiaNchi

    Uteuzi wa Rais Samia uliwasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya TabiaNchi (GCA) Ban Ki-moon wakati walipokutana Kenya kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliohusu Mabadiliko ya TabiaNchi Wajumbe wengine wa Bodi hiyo ni Rais wa Senegal...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na wenzake waachiwa kwa dhamana

    Habari hii ni kwa mujibu wa Martin Maranja Masese kupitia mtandao wa X. - Jeshi la Polisi mkoani Arusha limempatia dhamama Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na viongozi wengine wa chama hicho waliokamatwa muda huu saa 2 usiku jijini Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…