Utabiri wa Kariakoo Derby full time Simba 3-0 Yanga

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,422
Reaction score
2,757
Mchezo wa kariakoo dabi unaotarajiwa kupigwa tarehe 10.
Watabiri wametabiri simba itashinda kwa magoli 3 yote kipindi cha kwanza.
-umiliki wa mpira kipindi cha kwanza SIMBA, kipindi cha pili YANGA pha yanga watapata penati ila watakosa.
Kona ataongoza simba kipindi cha kwanza kona 13 Yanga 1.

Kipindi cha pili Simba hatopata on target hata moja Yanga on target 5.
Pia kuna kadi nyekundu kwenye mchezo wa dabi ya tarehe 10.
AINA YA MAGOLI YA SIMBA.

Faulo inazaa goli, yanga kujifunga, penati.
JE KUNA UKWELI HAPA?

FT SIMBA 2-1 YANGA
 
You must be crazy 🤣
 
Back
Top Bottom