Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha.
Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...