deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

    Habari za leo leo washikadau, Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90. Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
  2. JamiiForums Tanzania Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima. Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka...
  3. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati 'wakijimwambafai' Kumsajili Djuma kwa Bilioni 1, Nahodha wa Yanga SC Beki Lamine Moro achoshwa na Deni na Kutolipwa Mshahara

    Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sources of Tanzanian external debts

    Ni aibu Sana kuona Tanzania inakopa Deni kwa nchi maskini kama Angola. Iran na Iraq nazo ilowakopa mabomu ama Nini🤣😂😂🤣
  6. JamiiForums Tanzania USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  7. JamiiForums Tanzania HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

    Safari ni ndefu kutoka 10.8 milioni hadi 1.5 milioni miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu. Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani? Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja. Mungu mkubwa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. John Magufuli amekufa na deni letu, Rais Samia tunaomba suluhu yako

    Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania. Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za ualimu. Kati ya hizo ni ajira 8000 tu zimetolewa katika awamu ya kwanza nazo zilitolewa angali bado...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  13. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  16. JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu. Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kukopa na kutokulipa deni, Kama una tabia hii jitathimini sio nzuri kwani inapunguza uaminifu na kuvunja uhusiano pia

    Mambo vipi wakuu Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu. Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa. Kiukweli hili jambo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China yatia pembeni deni la Kenya hadi baadaye, mlisubiri sana kuona tukidondoka

    Wamekubali kusubiri kwanza tudundulize hela za kutosha Kenyan President Uhuru Kenyatta (Left) and Chinese President Xi Jinping prior to a bilateral meeting in Beijing, China in 2018. PSCU China has revealed that it is ready to suspend Kenya's debt nearly a week after the country received the...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu deni la bodi ya mikopo (HESLB)

    Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali. Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

    Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli? Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB. Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…