deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Deni la mkopo la HESLB kwangu halipungui nikangalia mtandaoni licha kukatwa na kuoneshwa zimelipwa

    Nilitunza kumbukumbu za deni la mkopo wa wanafunzi elimu juu HESLB lililobaki hadi mwezi Juni 2021 la mtandaoni ili nije nilinganishe na la mwezi unaofuata nione kama linapungua nimebaini halipungui sijui shida iko wapi? Hali ikoje kwako mkuu, mbona sasa nashindwa kuamini hata taarifa za...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Salary slip ya Julai, 2021: Hakuna Tzs 2,500, deni la HESLB halijapungua

    Ndo hivyo, inaonekana sasa! Niliaminishwa nitakuta deni la HESLB limepungua kutokana na kutolewa ile nyongeza kama alivyoamrisha Mh. Rais; HAKUNA BADILIKO! Nilisikia kuna kanyongeza ka 2500 ka kupatia mo energy za jero tano kwa ajili ya kuinjoi na familia kila mwisho wa mwezi; HAKUNA KITU. Dah!
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

    Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri. Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
  4. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

    Habari za leo leo washikadau, Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90. Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
  5. instagram

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya kuomba unanipelekesha utafikiri unanidai

    Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela ananidai aliniazima. Au anaweza tu akaamua akatuma msg "nakuja leo" utafikiri labda kuna hela kaweka...
  6. balimar

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati 'wakijimwambafai' Kumsajili Djuma kwa Bilioni 1, Nahodha wa Yanga SC Beki Lamine Moro achoshwa na Deni na Kutolipwa Mshahara

    Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka. Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia...
  8. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sources of Tanzanian external debts

    Ni aibu Sana kuona Tanzania inakopa Deni kwa nchi maskini kama Angola. Iran na Iraq nazo ilowakopa mabomu ama Nini🤣😂😂🤣
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania USIHADAIKE: Hakuna uchawi wa kumfanya mtu akulipe deni

    Humu mitandaoni watu wanapigwa sana. Kuna madalali humu wamejaa shuhuda za kutunga na zinavutia sana! Kama kungekuwa na huu ushirikina wa kumfanya mtu akulipe mahakama kusingefurika kesi za madai. Ama mahakama zetu zingekuwa na afueni kubwa sana. Sikiliza nikwambie kuna uchawi moderate tu tena...
  10. las Casas

    JamiiForums Tanzania HESLB mnataka tufe kwa pressure?

    Mimi ni mnufaika wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB). Nilianza kulipa deni langu la shilingi milioni 6.5 mwaka wangu wa pili tu baada ya kuajiliwa. Nililipa deni langu katika kipindi cha miaka nane. Nimeshtushwa na barua niliyoandikiwa ofisini kwamba nina deni HESLB. Nimemaliza deni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Deni langu la bodi limebaki 1.5 milioni

    Safari ni ndefu kutoka 10.8 milioni hadi 1.5 milioni miaka zaidi ya saba sasa nalipia degree yangu ya miaka mitatu. Hiyo ni kwenye slip yangu. Sijui Retention Fee waliyonayo kwao itakuwa kiasi gani? Mama Samia akiondoa Retention Fee naenda kuwalipa 1.5 yao Cash tuagane moja kwa moja. Mungu mkubwa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amcharukia Kimei Bungeni, kuhusu deni la Serikali kwa mifuko ya hifadhi ya Jamii

    Mbunge Halima Mdee amemcharukia Mbunge wa Vunjo Charles Kimei baada ya Halima Mdee kuchangia kuwa Serikali imekopa fedha nyingi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kiasi cha trilioni 10 na kufanya mifuko hiyo na kutolipa madeni hayo kumefanya mifuko hiyo kushindwa kulipa mafao ya wastaafu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  14. msovero

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Magufuli amekufa na deni letu, Rais Samia tunaomba suluhu yako

    Mama naomba niandike kifupi ili nisikuchoshe kusoma maana najua una majukumu mengi na mazito ya kuwatumikia Watanzania. Mama, wakati hayati magufuli hajakumbwa na mauti alituahidi ajira 13529 za ualimu. Kati ya hizo ni ajira 8000 tu zimetolewa katika awamu ya kwanza nazo zilitolewa angali bado...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
  17. Snowden E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

    Siasa chafu za ubaguzi mlizochagua kuitana wale si wenzetu wale wasaliti, wale si wazalendo ni mbegu mbaya mnayopanda, mnajenga jamii yenye mgawanyiko, mnaligawa taifa kwa matendo yenu. Lissu alipopigwa risasi serikali ilizuia watu kumfanyia maombi waliojaribu walikamatwa, wabunge wa CCM...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa ushauri liwe himilivu. Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kukopa na kutokulipa deni, Kama una tabia hii jitathimini sio nzuri kwani inapunguza uaminifu na kuvunja uhusiano pia

    Mambo vipi wakuu Kuna baadhi ya watu katika jamii tunayoishi, wengine ni ndugu, jamaa na rafiki zetu. Huwa wanatabia ya kukopa na kutolipa deni kwa wakati au wengine kutolipa kabisa, na baada ya muda mtu anataka umkopeshe tena hali ya kuwa deni la mwanzo hajalipa. Kiukweli hili jambo...
Back
Top Bottom