deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: UKAWA ilituachia mzigo wa kulipa deni la Tsh. milioni 91 huku wakijua tuna mbunge mmoja tu

    Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza katika kipindi cha CLOUDS 360 cha Clouds TV amesema kuwa UKAWA waliwafanyia uhuni sana NCCR-MAGEUZI kwa kuwalipisha deni la milioni 91 huku wakijua kabisa NCCR-Mageuzi wana mbunge mmoja tu. Pia James Mbatia amekana kuwa chama chake sio CCM B...
  2. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Ahadi ni deni: Je, nini kilifanya watu wavute sigara, wakina dada wavae high heels (viatu mchuchumio)?

    Hakuna kitendo binadamu anatenda ambacho hakina historia yake. Bahati mbaya sana Waafrika tulifungia akili kabatini tukakataa kusoma masomo kama evolution, anthropology, n.k. Wakati waliotuketea imani zao wao wakiendelea kusoma. Moja ya somo walilotukataza linaitwa "semiotics". Semiotics ni...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IMF Yaipa Rwanda Dola Milioni 111.06 zaidi ili kupambana na COVID-19

    Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19 Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya kupigwa na COVID19, ukuaji wa uchumi wake ulitarajiwa kushuka kutoka 5.1 hadi 2.0 IMF imesema...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

    ======= Hotuba Ya Waziri Mpango Akiwasilisha Bungeni Bajeti Ya Mwaka 2020/21 Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2020/21. Bajeti hii ni ya tano ya Serikali inayoongozwa na...
  5. Teargass

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania wamesamehewa deni Tena

    LDC to the core. This is now the nth time Tanzania wameshindwa kulipa deni. This is total embarrassment. ====== IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust June 10, 2020 The IMF...
  6. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ahadi ni deni

    Kuna hizi ahadi CHADEMA mliahidi: 1. Mliahidi mtateua watendaji wenu serikali za mitaa ili watoe huduma kwa wananchi kwa kuwa hamuwatambui waliochaguliwa uchaguzi mdogo. Mmefikia wapi? Wanatoa huduma gani? Tupeni majina ya viongozi wenu tuwape kero zetu. 2. Mlidai kupitia zoezi la chadema ni...
  7. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

    Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumewapigania sana, hakuna mnalotudai bali mna deni kubwa kwetu

    Wakuu hiki Chama mi kimenitia majeraha makubwa hakika. Nakumbuka miaka nane ilopita tukiwa na mama yangu kijijini tukisikiliza radio five ghafla ikatangazwa break news mtangazaji Alli Shemdoe akatangaza kupigwa kwa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA wa NMC moja kati ya majeruhi alikuwepo Abdi Madava...
  9. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya aomba deni la China liondolewe kufidia madhara yaliyotokana na virusi vya Corona

  10. Sibonike

    JamiiForums Tanzania Unapolipa deni kumbuka haya (M-pesa, Tigopesa, Halopesa nk)

    Nazungumzia namna ya kulipa deni ulilorushiwa kwa M-pesa, Tigopesa, halopesa nk. Katika maisha ni kawaida kukwama na kuomba marafiki watunasue na kamkopo. Mtu anakukopa tuseme laki tano. Unamrushia kwa mpesa (yaweza kuwa mtandao mwingine wowote) laki tano na elfu kumi ili apate na ya kutolea...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni taratibu gani za kuuza kiwanja kilichowekwa kama dhamana zinazotakiwa kufuata baada ya mkopaji kushindwa kulipa deni?

    Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali ya mkopeshaji na ambachi atakiuza ili kulipia deni. Kwa mfano,hata kama mkataba unamruhusu...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku Hospitali kushikilia maiti kwa kile kinachotajwa hadi pale gharama za matibabu yake zitakapolipwa

    Serikali imepiga Marufuku Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zote nchini kushikilia maiti kudai fedha iliyotumika katika matibabu. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa afya Dk. Faustine Ndugulile wakati akiwa ziarani katika Kata ya Kileo mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo ya Serikali...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye deni la trillioni 100 ni tajiri kuliko mwenye bilioni 100 kwenye akaunti yake, kuna mtu anabisha?

    Kuna ufafanuzi nilitaka niutoe ila nimeghairi kwanza, labda aje mtu aseme anabisha
  14. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Kwa hasara ya ATCL hivi ndivyo Mkulima atafanya akiikamata tena ndege Boeing/ Jet Liner

    ]
Back
Top Bottom