Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu
Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo...
Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni jambo lingine lakini pia kumpata mwenyekiti asiyegemea upande wowote ni jambo lingine. Chebukati...
Peace be upon you all,
Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki.
Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya wamefika katika level hiyo ya uwazi baada ya machafuko waliyobatizana kwa mapanga na damu kumwagika...
Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam.
GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria mbovu, bali tuna Sheria zilizopitwa na wakati, zinazohitaji kufanyiwa marekebisho ili kuendana na wakati...
KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
Wanaharakati wanne wa demokrasia akiwemo Mbunge wa zamani Phyo Zeya Thaw wamenyongwa na jeshi la Myanmar wakituhumiwa kwa mipango na kufanya njama za vitendo vya ugaidi
Wanaharakati hao walihukumiwa kifo katika kesi za siri mwezi Januari na Aprili, kwa kituhumiwa kwa kusaidia waasi kupigana na...
Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi.
Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa.
Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.
Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani.
Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19
Nasema hivi ile ahadi ya Ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa
Rufaa...
Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na wakiwa wepesi kurusha kila aina ya kashfa kwa chama tawala.
Freeman Mbowe aliingia katika uongozi...
Bunge huru hutunga sheria huru na Mahakama huru hutafsiri hizo sheria bila kuingiliwa na mhimili wowote, kuhakikisha sio kandamizi kwa Raia na zinatumika katika maono mapana ya taifa kwa ujumla.
Pia Bunge huiwajibisha Serikali na kuhakikisha matumizi sahihi ya kodi za wananchi, vilevile...
CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo.
Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda.
Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
Wanasiasa wengi wa Tanzania hawana kitu kingine wanaweza kufanya nje ya mfumo wa siasa wakapata kipata kizuri na maisha yao yakaendelea vizuri.
Wengi wanaotoka vyuoni wakajiunga na siasa moja kwa moja hawana principles zozote wanazosimamia zaidi ya maslahi yao tu.
Wanaoacha ajira zao...
Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira!
Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa
Ni ama kuna Uhuni...
Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi kilichoundwa
Masuala makuu 9 yaliyoainishwa na Kikosi hicho ili kuwasilishwa Serikalini na kufanyiwa...
Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!!
Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.