Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,182
1,490
Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndio ametangazwa....
b621ef115e9e5b252db01a5b88a72afd.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yangu kila mahali wizi. Je tutafika?. Kwa nini CCM mnawafanyia wananchi mambo haya. Mjaribu kujirekebisha angalau. Rais wetu ambaye ndiye mwenyekiti wenu anahubiri haki klla siku. Tekelezeni hiyo haki anayohubiri.
Masahihisho : Mwenyekiti wa ccm ndiye chanzo cha wizi wa kura baada ya kuwaambia wakurugenzi kwamba , " Nimekuteua nakupa mshahara na gari halafu umtangaze mpinzani mshindi "
 
Back
Top Bottom