Serikali mpo wapi watu wa Ubungo Kibangu wiki ya 3 hatuna maji hata tone, DAWASA wametutelekeza

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Maeneo ya Kibangu Juu huku mitaa ya kwa Mdee, kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji.

Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio.

Dawasa mnajua kututesa sasa kesho tunaianza wiki ya 3 bila maji hata ya kidogo jamani ni haki hiyo?

Serikali mpo wapi? Hivi kweli mnajua kuwa wananchi wa kibangu hawana maji katika maeneo hayo nilotaja?
 
Maeneo ya kibangu juu huku mitaa ya kwa mdee,kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji

Bora maeneo mengine yanapatikana hata kwa mgao, sisi hatuoni hata ya mgao wala nini na huku hata mbadala wa visima hamna yaani ni kilio

Dawasa mnajua kututesa sasa kesho tunaianza wiki ya 3 bila maji hata ya kidogo jamani ni haki hiyo?

Serikali mpo wapi? Hivi kweli mnajua kuwa wananchi wa kibangu hawana maji katika maeneo hayo nilotaja?
 
Mmeambiwa mmejenga kiholera mabomba yanashindwa kupandisha maji kuja kwenu, kwa hio tulieni injection pump zinafanyiwa kazi
 
Kwa mwendokasi hali si itazidi kuwa mbaya wakuu? Maana na hili jua+kuoga kwa manati si shida hii!!!

Poleni watu wa Kibangu na kwingine kwenye shida ya maji, kuna maeneo utadhani tunaishi karibu na Ikulu ya Chamwino, yakikata jana, ndani ya 24hrs mzigo unarudi
 
Daah
 
Jamani tulitaka demokrasia ama nakosea,tulitaka raisi anayetoka nje Ilo diplomasia iwe vizuri na kweli saivi iko vizuri Mana wamasai wanatoka ngorongoro waarabu wanaingia kuwekeza,tulitaka raisi asiyechukia matajiri saivi nadhani tozo ziko poa ama mnasemaje hapa mbele akina mama na huko nyuma akina baba so Kura zenu mtatupa Tena!!!!!😂😂
Maeneo ya kibangu juu huku mitaa ya kwa mdee,kwa mgogo, novo, gide yote haina maji ni wiki mbili rasmi tumefikisha leo bila maji...
 
1961-2023. ukanda wa maziwa makuu plus mito na bahari ni aibu, anyway sisi wa chawino huku mpaka bata wanaoga
 
Bado wanatoa upepo ndani ya mabomba. Maeneo mengi bado hakuna maji kuanzia Kunduchi mpaka mbezi.
Comrade Waziri ingependeza kutembelea maeneo mengi Dar kujua hali halls badala ya kwenda Airport kusindikiza na kusubiri kuzindua vituo ambavyo hutoa maji kwa nadra .
 
Back
Top Bottom