Manemane jero tu maduka ya dawa asili. Au muombe katekista kanisani (katoliki) huwa wanachoma.Shida yenu waganga wa kienyeji ni moja, mnajifanya kusema "leo nawapa bure au siri hadharani" dawa ya jino alafu katika hiyo siri hadharani lazima UWEKE KITU ambacho si rahisi kapatikana mtaani.
Mfano "manemane" ili tu kwamba kupitia hiyo lazima simu yako iite ili umuuzie mteja 😂 😆, yaani ni hatari.
Ila ndugu zangu kama jino linasumbua tafuna, twanga au blend karafuu kisha weka pale kwenye jino kwa dakika 1 hadi 5, alafu sukutua au piga mswaki.